The Bodmas
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 405
- 402
Hivi kwanini kila man utd tunaposhinda makelele yanakuwa mengi ..Mara goal la offside mara refa katumbeba hivi kwann??
Fear.Hivi kwanini kila man utd tunaposhinda makelele yanakuwa mengi ..Mara goal la offside mara refa katumbeba hivi kwann??
Kuna watu walikuwa wanamponda sana Jose but tactical Jose amekuwa bora sana kusoma mchezo na kufanya sub,Mourinho wa zamani ilikuwa ngumu sana kutoa defender/defensive mid kuingiza washambuliaji.Liverpool wanajaza viungo sana kati so ilikuwa ngumu kwa Pogba/Mata/Mkhitaryan kushine mechi ya jana option ilikuwa kumuingiza Fellaini au Rashford awe anashambulia toka kushoto lakini Rashford sio mzuri kwenye kudefend.Mata asingefanya chochote pale kati kwa jinsi Klopp alivyopanga timu yake. Klopp amepanga timu kuhakikisha Man Utd hawechezi mpira katikati.
Ndio maana Mourinho alimtoa Carrick na kuwashangaza wengi kumuingiza Big Fella lengo lake lilikuwa ku-bypass midfield na kucheza direct, from then on defense ya Liverpool ilianza kupata pressure na goli lilipatikana kwa style hio direct on your face football.
Inapendeza kuona Mou anaweza kusoma mchezo na kubadilisha approach.
Halafu niki-recall Liverpool kawafunga Arsenal,Chelsea home na Man city kala kipigo wiki iliopita hizo zote ni timu ambazo 'ni bora kuliko sisi' nashangaa mkija hapa kujidai oh man utd should play this and that!
Hahaha my wish imetimia nawashukur sana Klabu na mashabiki wa man utd.
Ila wacha niseme tu: ile game angeanza mata pale kati badala ya Pogba mngeshinda mapema sana. Mata is way better than Pogba. ametulia sana ana vision ana pass nzuri.
Pogba is good - nisinukuliwe vibaya - ila kwa games za Hull huko. Big games, weka Mata kati uone matokeo. I still miss him...Mata/Silva/Fabregas...my kind of players!!!
Professional foul. Hapo hata kocha hakulaumu kwasababu huyo Ferminio hapo alikuwa ana launch devastating counter-attack!
Goli letu
ukizingatia huyu Webb ni "shetani" through and through, huu ndio ukweli wenyewe wa Manure kubebwa jana!!Liverpool were robbed of victory by blundering officials, claims former referee Howard Webb
Zlatan Ibrahimovic scored a late equaliser to rescue a point for Manchester United - but Antonio Valencia was offside in the build-up
View attachment 460630
Antonio Valencia was offside in the build-up to the equaliser (Photo: Tom Purslow)
Former World Cup and Premier League referee Howard Webb has accused the officials of costing Liverpool victory at Old Trafford.
Zlatan Ibrahimovic scored a late equaliser to rescue a point for Manchester United - but Antonio Valencia was offside in the build-up.
But assistant referee Mick McDonough was poorly positioned and didn't notice.
“Manchester United benefited from an error by assistant referee Mick McDonough,” Webb told The Times.
“Positioning is everything as an assistant referee and he is not where he needs to be, which is looking along the offside line.
View attachment 460631
Zlatan Ibrahimovic scores the equaliser (Photo: Getty Images)
“Because he is too far down the touchline, he cannot judge whether Antonio Valencia is just offside before he receives the ball, which he is.
“In those circumstances, he gives the benefit of the doubt to the attacker. He will have known he lost his position at a crucial time.”
Keith Hackett, the former general manager of the Professional Game Match Officials Board, agreed with Webb that some big decisions went against Liverpool.
“When Michael and his team look back on the game there will be three decisions they will be disappointed with,” he told the Telegraph.
“The most serious of them was when assistant referee Mick McDonough failed to notice Antonio Valencia was offside in the build-up to Manchester United’s equaliser.
“He was completely out of position and it was a poor error considering the move was being conducted at walking pace.”
Mkimaliza kulialia mtatukuta mbele ya safari sisi tushamalizana na ninyi. next!ukizingatia huyu Webb ni "shetani" through and through, huu ndio ukweli wenyewe wa Manure kubebwa jana!!
Chelsea waliwakamia wakawapiga4, Watford waliwakamia wakawapiga 3, man city waliwakamia wakawapiga 2, nini kinawafanya mshindwe kukamia na nyie?Coutinho atawacost sana Liverfool, wamempiga sindano kisa game ya man Utd. Ndiyo shida za wapinzani wanakamia sana game za man Utd. Huyo coutinho mpk apone 100% siyo leo wala kesho.
Huo ulikuwa ni mpito hamna tena kitu km hichoChelsea waliwakamia wakawapiga4, Watford waliwakamia wakawapiga 3, man city waliwakamia wakawapiga 2, nini kinawafanya mshindwe kukamia na nyie?
Kwahiyo hao wote wakija tena ni goals tu mnawapiga? Hapo labda Watford tu, kumbuka bado hawajaacha kuwakamia maana liver Jana kakukamiaHuo ulikuwa ni mpito hamna tena kitu km hicho
Ndio maanakeKwahiyo hao wote wakija tena ni goals tu mnawapiga? Hapo labda Watford tu, kumbuka bado hawajaacha kuwakamia maana liver Jana kakukamia
Mlisema SAF alikuwa ananunua marefa alishastaafu miaka 3 iliyopita nyie endeleeni kutafuta visingizio bado mengine mengi ya offside yanakujaSeven Offside goals at Old Trafford in 5 Games.. Shocking!