Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,249
- 2,156
Hongereni Wakuu points sita nyingine katika michezo yenu iliyobaki itawahakikishia kwamba mnarudisha tena taji pale Old Trafford. Kwa jinsi EPL ilivyoanza mwaka huu sikutegemea kabisa muwe mabingwa maana wale Chelsea walianza vizuri sana. SAF na timu yenu wanahitaji pongezi za hali ya juu kwa kujituma katika kila mechi tena kwa dakika zote 90. Nimeipenda hii defence ya Everton imetulia sana pamoja na mashambulizi ya mfululizo ambayo mliyaelekeza kwao. Ingekuwa timu yangu si ajabu tungefungwa tatu au hata zaidi. BJ & Co hongereni sana.
Hamna shaka mkuu...ila ushindi nadhani utakuja kuchukuliwa nyumbani kwenu hapo hapo in few days....zaidi leo vijana wamejitahidi sana....