Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester united website is the most visited of all clubs in the world above liverpool and arsenal-sky sports

51a97415944315f1d36bdfc8c36932c4.jpg
 
Gemu ya 15 unbeaten ushind wa 9 mfululizo ktk michuano yote

Ww hapana chezea sisi kabisa
Sasa maombi yangu ni tulibebe tena kombe hili yaani mlango uko wazi,ila tusiwachukulie poa Hawa Hullicty yaani tucheze kama hatutakuja kucheza tena ..... yaani Soton amenipa raha jana acha tu nilikuwa sina access tu ya kuja kushangilia humu ........ gooooooooo on Man U vita ni vita!!!,huku FA,huku Capital huku EPL Mdogo mdogo tutafika...... GGMU
 
Mkuu bado kuna marudiano mkuu...Man utd ataenda kwa Hull city na hao Southampton wataenda kwa majogoo...kwa ushindi wa 1-0 walioupata bado nina mashaka sana kama watapita fainali maana mechi ya marudiano watacheza kwa kulinda goli...
 
Yaaahhh marudiano yapo bado,nimeedit pale juu nilikosea...... dalili za mvua mawingu bana hawa walishatoka tuwahesabu tu hivyo na wapigwe tu tena ....... ndo maana sisi tusilale yaani hayo marudiano tupambane kama vile fainali...... hope tunalibeba tena kombe hili.
 
fainal tukikutana na liver ndio itanoga zaidi
 
Mkuu bado kuna marudiano mkuu...Man utd ataenda kwa Hull city na hao Southampton wataenda kwa majogoo...kwa ushindi wa 1-0 walioupata bado nina mashaka sana kama watapita fainali maana mechi ya marudiano watacheza kwa kulinda goli...
Yaah jana the saints wangeweza kuimaliza game kuna mmoja alileta mambo ya uchoyo na kupoteza nafasi ila sidhani kama wataenda kuzuia wana mpira wao flan hivi ni khatari sana wale winga zao zinakimbiza balaa .
 
Back
Top Bottom