Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameachwa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kinajiandaa kuumana na Leicester City wikiendi. Chanzo kinatajwa kurushiana maneno na kocha wake Antonio Conte wakiwa mazoezini baada ya kugomea mpangilio wa mazoezi wa fitness coach. Taarifa nyingine zinaeleza Diego Costa anataka kuondoka kuelekea China ambapo amepata dili ya kulipwa paundi 570,000 kwa wiki na klabu ya Tianjin Quanjin. [HASHTAG]#DaudaTransferUpdates[/HASHTAG]
Huyu mchezaji huwa anakuwa kama anaupungufu wa akili maana anatabia za ajabuajabu sana inabidi watafute mshambuliaji mwingine atawacost kama balotelli kwa man city
 
Podga on Mourinho
f1a502136088b4c9a0a5fb28ead613e1.jpg
 
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameachwa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kinajiandaa kuumana na Leicester City wikiendi. Chanzo kinatajwa kurushiana maneno na kocha wake Antonio Conte wakiwa mazoezini baada ya kugomea mpangilio wa mazoezi wa fitness coach. Taarifa nyingine zinaeleza Diego Costa anataka kuondoka kuelekea China ambapo amepata dili ya kulipwa paundi 570,000 kwa wiki na klabu ya Tianjin Quanjin. [HASHTAG]#DaudaTransferUpdates[/HASHTAG]
In other news, Leicester city 0 - 3 Chelsea Fc
 
I hope you are smart enough to know that being 6th and two points behind second place is better than being 5/4/3rd and seven points behind.

...and smarter enough to know that it doesn't matter! 6th position qualifies you to nothing but next season EPL. I would rather be 4th position and 10 points off the first person than you.

However kwa game ya kesho nawaombea mshinde (kama mtakuwa na uwezo huo) la sivyo DRAW.
 
Kwavile umezoea kufungwa na Liver,unadhani na sisi ni kama nyie? Sikumbuki mara ya mwisho ni lini Liver iliifunga United kwenye Epl.
 
Kwavilw umezoea kufungwa na Liver,unadhani na sisi ni kama nyie? Sikumbuki mara ya mwisho ni lini Liver iliifunga United kwenye Epl.

Punguza mihemko kijana...wapi nimesema Liver awafunge..kwa game ya kesho walaaaa sitaki hilo litimie..so katika kukuridhisha (na kujipa amani ya moyo) manfongo atamfunga Liverpool kesho...halafu atabaki namba sita...khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom