Yaan hapo kuna kosa kosa za wazi kama mia nimependa fellain na martial wamebdlika sana aisee kweli mou anajua kumotivate mchezajiHawa binadamu hata penye ligi tulikuja kuwafunga jioni sana . Mwanzo mzuri wa kuelekea wimbley

Siku hizi hata tukifungwa unaona timu inacheza vizuri kingine hapo OT sio sehemu ya kuja kwa wageni pamekuwa pabaya sana watu wanaruhusiwa kwenda emirate au etihad na kwingine huko sio hapoYaan hapo kuna kosa kosa za wazi kama mia nimependa fellain na martial wamebdlika sana aisee kweli mou anajua kumotivate mchezaji
Siku hizi hata tukifungwa unaona timu inacheza vizuri kingine hapo OT sio sehemu ya kuja kwa wageni pamekuwa pabaya sana watu wanaruhusiwa kwenda emirate au etihad na kwingine huko sio hapo