Top 10 clubs by debt
1. Manchester United - €536m
2. Benfica - €336m
3. Inter - €306m
4. Valencia - €285m
5. QPR - €279m
6. AC Milan - €249m
7. CSKA Moscow - €224m
8. Galatasaray - €222m
9. Juventus - €209m
10. Roma - €208m
Top 10 clubs by debt
1. Manchester United - €536m
2. Benfica - €336m
3. Inter - €306m
4. Valencia - €285m
5. QPR - €279m
6. AC Milan - €249m
7. CSKA Moscow - €224m
8. Galatasaray - €222m
9. Juventus - €209m
10. Roma - €208m
Mkuu ifike mahali tuwe waelewa, kwanza club imeamua kuongeza mwaka mmoja kwa fellaini ambao ulikua kwenye kipengele cha mkataba wa zamani (4+1) years, yaani hapo club inakua na option ya kukupa huo mwaka au laWanataka kumuongezea big Fella mkataba....ha ha ha
Hatariiiiii,,, go on,, Man U
Hatariiiiii,,, go on,, Man U

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameachwa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kinajiandaa kuumana na Leicester City wikiendi. Chanzo kinatajwa kurushiana maneno na kocha wake Antonio Conte wakiwa mazoezini baada ya kugomea mpangilio wa mazoezi wa fitness coach. Taarifa nyingine zinaeleza Diego Costa anataka kuondoka kuelekea China ambapo amepata dili ya kulipwa paundi 570,000 kwa wiki na klabu ya Tianjin Quanjin. [HASHTAG]#DaudaTransferUpdates[/HASHTAG]

Kwa upande wa discipline sijawai kumuelewa Diego Costa ila ni mchezaji mwenye kipaji kizuriMshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameachwa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kinajiandaa kuumana na Leicester City wikiendi. Chanzo kinatajwa kurushiana maneno na kocha wake Antonio Conte wakiwa mazoezini baada ya kugomea mpangilio wa mazoezi wa fitness coach. Taarifa nyingine zinaeleza Diego Costa anataka kuondoka kuelekea China ambapo amepata dili ya kulipwa paundi 570,000 kwa wiki na klabu ya Tianjin Quanjin. [HASHTAG]#DaudaTransferUpdates[/HASHTAG]