Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bastian, what a professional footballer!! Pamoja na vitimbwi vyote, sijamsikia akilalamika wala kuongea ongea na media! Hopefully, ataendelea kupata some play times. [HASHTAG]#werolling[/HASHTAG], [HASHTAG]#weballin[/HASHTAG]
Bastian anaipenda sana Manchester United
 
.....Na kule kwa Maalim Seif watoto wa Jangwani wamepigwa miguu ya stuli na Wauza Ice. Ndo maana soka ni mchezo unaovutia....
 
Morgan mi kwa upande wangu naona kama wale viungo wa kizaman wanakabia chini sana hapandishi timu kama carick ni wazur ukishinda usiposhinda timu inakuwa nzito kwa sasa wanahangaika manchester kupata kiungo kariba ya carick kipind cha kwanza mou alifeli alikuwa anajihami sana sisi hatuna soka la kuzuia ni kishambulia ndo mana anamtoa smalling anamuingiza rashford bado timu ipo sawa hii ni kitokana na kuwa na viungo washambuliz herrera na carick wanakaba na wanashambulia
Nmekupata vema mkuu,,,, good analysis
 
Mnacheza na katimu cha daraja la tano uko mnashinda afu mnajionaaa ..amwoni ata aibu mnapanga likikosi lenu lote la kwanzaa

Chelsea kanaswa mara kibao na hivyo vya daraja la tano ndo mana fa inamoiga chenga
 
Scholes: "Let's hope Rooney breaks the record against Liverpool. If Manchester United beat Liverpool, they're back in the race."

-RS
 
Bastian, what a professional footballer!! Pamoja na vitimbwi vyote, sijamsikia akilalamika wala kuongea ongea na media! Hopefully, ataendelea kupata some play times. [HASHTAG]#werolling[/HASHTAG], [HASHTAG]#weballin[/HASHTAG]

ndo mana mou kaamua kumbakisha ijumaa kwenye press kasema haendi kokote ana mashindano mengi atacheza tu
 
Mnacheza na katimu cha daraja la tano uko mnashinda afu mnajionaaa ..amwoni ata aibu mnapanga likikosi lenu lote la kwanzaa
e6b04368484f8aac43e1b6ba29cf9c90.jpg

Mkata umeme veeepi???
 
Back
Top Bottom