Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uyo uyo Kante aliwachoma kimoja cha dawa. .na bado atawachoma tena.
f7f724dc2b9ddb539ba26053f604f334.jpg
 
Km kashindwa kuwafunga kwake ataweza kweli kuwafunga kwao ...na kesho droo sasa
 
playmouth na bornermouth watakuwa ndugu hawa maana jogoo anapata tabu sana kwa hawa viumbe
 
Wakuu heshima kwenu,,, kwanza hongera kwa ushindi huu wa mabao 4 kwa 0, ningependa kukaribishwa katika jukwaa hili maalumu kwa chama kubwa Man Utd,, n mdau japo nlikuwa sishiriki kwa kua sikuwa jf member,, pongezi kwenu Wakuu,, good job,, Kisu cha ngariba,, mussolin,, bavaria,, fund herrera,, sister,, na wanajumuia wote wa great Utd,, GGM Man Utd
Karibu sana kiongozi, tulisongeshe
 
jamani mwenye taarifa kuhusu marcos rojo sasa kawa nguzo kuu kocha wangu kafanya kazi ya maana kumbadili huyu jamaa
 
Jose Mourinho admitted he isn't likely to sign a defender this window:

"No, I wait for Bailly and I hope the three (Jones, Rojo, Smalling) can control the situation in these matches. We still have Daley Blind as the fourth in case we need him to play centre-back and we have Michael Carrick.”

~Kays
 
Back
Top Bottom