Mzawa asilia
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 416
- 204
hapo amekosekana ROY KEANE
hapo amekosekana ROY KEANE
Keane alinunuliwa akiwa teyari ni professional player ila hawa waliundwa na man united academyhapo amekosekana ROY KEANE
Hawana chao hao ....naona kombe wanatupa hill FAManchester United will play Wigan at Old Trafford in the fourth round of the FA Cup.
Injury updatedView attachment 457016
Mkuu game yetu against Hull city tunacheza leo J4 au kesho J5?huyu dogo anaipenda sana hii timu nakumbuka aligomea kucheza akilazimisha uhamisho kuja old trafod bahat mbaya van gaal hakumtendea haki alitaka kumharibu mou kambadili had kuwa namba 5 mzur beki muhuni huyu
Leo mkuu saa tano kamili usikuMkuu game yetu against Hull city tunacheza leo J4 au kesho J5?
![]()
Hivi kuna mtu wakuuu ambaye ana app ya timu yetu hii kumbwa nduniani?
huyu dogo anaipenda sana hii timu nakumbuka aligomea kucheza akilazimisha uhamisho kuja old trafod bahat mbaya van gaal hakumtendea haki alitaka kumharibu mou kambadili had kuwa namba 5 mzur beki muhuni huyu
Sawa mkuu, hata Salim Kikeke ka'confirmLeo mkuu saa tano kamili usiku
Sawa mkuu, hata Salim Kikeke ka'confirm![]()
Game inapigiwa Wimberley au OT?
C wameingia mkataba na Airtel so lazima ulipis us $0.99Nilikua nayo lakini baada ya ku-update wakaniletea mambo ya kulipia nikaifuta. Iko App store/play store.