FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Am still wondering why??Kumbe hata wewe umeliona hilo.. Tukishinda kunapoa kweli!

Am still wondering why??Kumbe hata wewe umeliona hilo.. Tukishinda kunapoa kweli!

Akina urban gentlemanAkifungwa wateja wanajaaa

Karibu jukwaani, Karibu nyumbani, Jisikie Huru. GGMUWakuu heshima kwenu,,, kwanza hongera kwa ushindi huu wa mabao 4 kwa 0, ningependa kukaribishwa katika jukwaa hili maalumu kwa chama kubwa Man Utd,, n mdau japo nlikuwa sishiriki kwa kua sikuwa jf member,, pongezi kwenu Wakuu,, good job,, Kisu cha ngariba,, mussolin,, bavaria,, fund herrera,, sister,, na wanajumuia wote wa great Utd,, GGM Man Utd
Teh teh tehVan gal tungeenda kurudiana nao kwao
sikuwahi kuelewa nini hasa yalikua malengo yake,,,, Utd mpya nafasi ya kiungo mkabaji ikamshinda huku akiwa na,, Car16,, Bast na Scheneidlin,, some time Wazza na Big FellaWakina martial walikuwa wanaumia mazoezini na muda wa kupasha kabla ya mechi anamchosha giggs kwenda kuwafuata wakina love na macnair yule mzee mazoez yake balaa halafu timu short on target moja
sikuwahi kuelewa nini hasa yalikua malengo yake,,,, Utd mpya nafasi ya kiungo mkabaji ikamshinda huku akiwa na,, Car16,, Bast na Scheneidlin,, some time Wazza na Big Fella
Ila mkuu,, unahisi kwa nini morgan kachemka OT ili hali alikuja akiwa na takwim nzuri katika suala zima la.ukabaji??Moyes na van gaal tulipotea timu ilikuwa ya mou hii angeipata toka 2013 leo story ingekuwa tofaut mana watu anaosajili ni watu wa kazi tu
Rashfordddddd goal now am happy
Ila mkuu,, unahisi kwa nini morgan kachemka OT ili hali alikuja akiwa na takwim nzuri katika suala zima la.ukabaji??
Unawazo km langu nawazza Nani atakuwa replacement ya car9 ...maana sioni kabisa aiseMorgan mi kwa upande wangu naona kama wale viungo wa kizaman wanakabia chini sana hapandishi timu kama carick ni wazur ukishinda usiposhinda timu inakuwa nzito kwa sasa wanahangaika manchester kupata kiungo kariba ya carick kipind cha kwanza mou alifeli alikuwa anajihami sana sisi hatuna soka la kuzuia ni kishambulia ndo mana anamtoa smalling anamuingiza rashford bado timu ipo sawa hii ni kitokana na kuwa na viungo washambuliz herrera na carick wanakaba na wanashambulia
Unawazo km langu nawazza Nani atakuwa replacement ya car9 ...maana sioni kabisa aise
Kweli mkuu pasua kichwa balaa
Fellain tuwape Yanga Yetu LtdUshindi wa leo ni salamu tosha kwa majogoo..Bado naimani na Rashiford na Martial ukizingatia game ya leo wamecheza kwa kiwango murua kabisa,Mou naomba tr 14 hawa vijana waanze.Afu hilo jambazi Fellain peleka JKU au Jang'ombe boys kwa mkopo