Pass master
huyu dogo ni hazina ase. Atatusaidia sana.
Hivi man u anaclean sheet ngapi mpaka sasa?
Rashford alivyowakusanya wale mabeki goli la kwanza kuna mmoja alianguka kama embe
Dogo alimkimbiza huyo jamaa, hatamsahau.
Rashford alivyowakusanya wale mabeki goli la kwanza kuna mmoja alianguka kama embe
Anderson kafanana sana na PayetWe endelea kufulahia long passes
![]()