Manchester United (Red Devils) | Special Thread

15492559_677739189066957_5842905596716109039_n.jpg
 
Memphis alishapewa sana chance toka kipindi cha van gaal lakini akashindwa kutetea namba, sasa kwann tumlaumu jose kwa hili wakati kaja kishamkuta dogo kaflop na dogo haoneshi kupigania nafasi yake.

Martial alikua ndio mchezaji wetu bora msimu uliopita ukiachana na dave na still bado ni mchezaji bora hata sasa. Kipindi tunaanza msimu dogo alikua na matatzo yake ya kifamilia ambayo yalimuathiri hadi ndani ya uwanja, kasolve matatzo yake but still sio martial yule wa msimu uliopita japo sikubaliani na suala la kuwekwa benchi na lingard.

Kuhusu Rashford yule bado mtoto ana mengi ya kujifunza na ni kosa mtoto mdgo vile kumfanya ndio tegemeo la timu, angalia ihenacho man city japo Aguero hayupo lakini dogo haanzi ndio tuseme kwamba kiwango chake kimeshuka au pep anamharibu?

Pia jaribuni kuangalia hata timu zingine sio kila kitu manchester, Batshuayi kanunuliwa na conte lakini hadi sasa haanzi licha ya kwamba Costa hayupo, mbona huyo hamuulizi au sababu sio manchester? Angekua jose ndio anafanya hivo mngesema anaua vipaji, sijawahi waona mna question gharama ya back line ya man city, more than 100 mill pound zimetumika, john stone, sane ni kinda waliochukuliwa kwa hela nyingi mno but they are doing nothing pale man city but never heard anything bad about them, WHY? simply because was not Mourinho who signed them.
Mkuu wasaga sumu wasikumize kichwa
 
He was in an offside position... but then, in such a spectacular scenario, everyone was celebrating, United players were celebrating, the referee was celebrating, the linesman was celebrating, Sunderland goalkeeper was celebrating, his defenders were celebrating, haters were on their feet, Moyes jumped up, the whole stadium was in delirium. We would all forget our duties, go insane and celebrate a great goal.. Perhaps Mkhitaryan has the Infinity Gauntlet.. That was a fictional goal.
 
Ha ha ha unazi level 100
 
Fictional goal
Wallah naipenda Man U,
 
Hili Jukwaa Schizophrenic Fans wallahi 😀😀😀
Eti Kuna Mashabiki wanatangaza January wataongoza Ligi....
Hivi Chelsea Atakuwa Kasimamishwa Michezo yake au Atapokonywa Points...
Sidhani Kama Kuna aliyekuwa Hajui Kuwa Ubingwa Marahii unamfavor Chelshit...
 
Back
Top Bottom