Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2016-12-28-17-22-31-1.png
 
Leo spurs wapigike hii itakua poa sana kwetu

↑↑ Kwanza Pole Kwa Ndoto Zako Za Alinacha!
Pili Usiwe Na Wasi Kwenye Uzi Huu huu pametangazwa Kuwa Mukishinda Mechi 2 tu Zaidi Mutaongoza Ligi...



Mkuu tusubirie mechi zijazo kuna mtu atapunguziwa tu point zake afu sisi tusonge mbele

↑↑ Hizo Timu ulizozikusudia Kama vile:
Chelsea
Liverpool
Arsenal
Man City
Spurs
May be na Everton
Kwamba Zitacheza Wao Kwa Wao na Kupungazana Points ili wewe usonge mbele! Nadhani Umesahau Kuwa Na wewe pia utacheza Nazo na Kupunguza Points....

Kwahiyo Ufahamu tu Kuwa "HAZITOPUNGUZANA POINTS" bali Sisi Pamoja na Wewe "TUTAPUNGUZANA POINTS"...
 
Back
Top Bottom