Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Nzuri kwetu hiyo.Afungwe ili apunguze kelele. Japo sio advantage kwetu.
Nzuri kwetu hiyo.Afungwe ili apunguze kelele. Japo sio advantage kwetu.
Lol!!!!!
Bora tupumzike.Nzuri kwetu hiyo.
Mabingwa wa mioyoni wale wana shida kweli hilo gap la points 4 sio mbaya.Bora tupumzike.
Tulenge nafasi ya 1/2.Advantage kwasababu tofauti sasa ni 4points.
One step at a time.Tulenge nafasi ya 1/2.
Utabiri wangu umetimia tenaNani yupo tayari tubeti
ASENO ANAFUNGWA
hahahaaa kule kwao hakuna queens ndiyo maana anakuja sana mtaani kwetu.Achana na man utd queens mkuu.
happy birthday to u my dada.........ingawa nimechelewa.Happy birthday to me .....hamjaniungusha Man U thank you .![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Happy birthday to you malkia wa nguvu, live longAsante ,hongera yetu soteeee
Mhhhh sasa kuwa nabii tu!!Utabiri wangu umetimia tena