Happy born day Mae..Happy birthday to me .....hamjaniungusha Man U thank you .![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thank you pachaaaa.....Happy born day Mae..
Age is just a number....Diego Costa - 13
Zlatan Ibrahimovic - 11
Aguero - 10
Sanchez - 10
Evidence that Zlatan is old and past it in football(according to haters)
Hahahaha na hata sikumstua nilikuwa nataka niisikilizie mechi kwanza....maana hawa WBA walikuwa wanatishia amani sana...... yaani zawadi tosha kwangu ...thanks Ibra.
Asante ,hongera yetu soteeeeHongera kwa ushindi.
Hahahaha njooo Goms huku uswazi kwetu full shangweee!! Njooo tupige kitu cha kazi!! Kazi!!Toa location wapi basi ya mnuso, na jinsi nilivyofulia miteremko{party} kama hizi siwezi kuzizembea kabisa lol
Tuje kusherehekea ushindi wa leo, na kupiga story za tofauti ya point 4 na timu iliyokuwa nafasi ya pili
Hii hii ya morinho, au unasemaje?Kwa manchester ipi?
Leo yamekua ayoo, si mlikua mnasema Ibra Mzee ninyi????mmeona mwezi Leo. IBRA akiumia mnashuka daraja
Rojo na Jones wapo ktk form, nampongeza Mou kwa kuwaboreshaSikuwahi kufikiri kama naweza siku nikawaamini Jones na Rojo kiasi hiki..
Rojo anafurahisha kweli kweli!
Yeah..... Kama sio majeruhi ya Jones na hizi kadi za rojo hakika tuna defence nzuriRojo na Jones wapo ktk form, nampongeza Mou kwa kuwaboresha
Happy Bday Bibie...Zlatan hajakuangusha. GGMUHappy birthday to me .....hamjaniungusha Man U thank you .![]()
![]()
![]()
![]()
![]()