Felsic
Senior Member
- Jul 14, 2014
- 180
- 354
Happy birthday to you, ongeza miaka ifike ya kina Bobby Charlton..Happy birthday to me .....hamjaniungusha Man U thank you .![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Happy birthday to you, ongeza miaka ifike ya kina Bobby Charlton..Happy birthday to me .....hamjaniungusha Man U thank you .![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahahaa asante dia hope kwab uwezo wake Mungu nitafika na nitawapita.Happy birthday to you, ongeza miaka ifike ya kina Bobby Charlton..
Aisee....kumbeeeShem yaani kule kwenu siku hizi nimehama sababu hakunogi utoto mwingi ndo maana siji...... zimefika kabisa.
Kwema ndugu yangu? kule vipi?Marcos Rojo shughuli yake nzito nyie mnaosema anacheza rafu beki gani asiyefanya rafu?
tayariKwema ndugu yangu? kule vipi?
Embu tupia ka picha walichofanya mm hata sikuona ile FT tu niliinuka kushangilia.
Kuna rafu na ujinga. Kurukia watu miguu miwili wakati kila mtu anajua hio ni red card offence ni ujinga.Marcos Rojo shughuli yake nzito nyie mnaosema anacheza rafu beki gani asiyefanya rafu?
Afungwe ili apunguze kelele. Japo sio advantage kwetu.Kuna mgonjwa mahututi huko mtaa wa pili....!
Habari zilizofika hivi punde ni kuwa mgonjwa amefariki!Kuna mgonjwa mahututi huko mtaa wa pili....!
Advantage kwasababu tofauti sasa ni 4points.Afungwe ili apunguze kelele. Japo sio advantage kwetu.
Umauti umemkuta nimeisha enda kutoa pole zangu huko.Kuna mgonjwa mahututi huko mtaa wa pili....!