Felsic
Senior Member
- Jul 14, 2014
- 180
- 354
Sawa Sheikh Yahya, inakera Utd kushinda sio??mmeona mwezi Leo. IBRA akiumia mnashuka daraja
Sawa Sheikh Yahya, inakera Utd kushinda sio??mmeona mwezi Leo. IBRA akiumia mnashuka daraja
Foster kauza mechi hii.
Maiti ya kiswahili huwa haikosi sababuFoster kauza mechi hii.
Happy bdayHappy birthday to me .....hamjaniungusha Man U thank you .![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
]Happy birthday to me .....hamjaniungusha Man U thank you .![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thank you my kaka.Happy bday
Be blessed
Happy birthday to me .....hamjaniungusha Man U thank you .![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahaha na hata sikumstua nilikuwa nataka niisikilizie mechi kwanza....maana hawa WBA walikuwa wanatishia amani sana...... yaani zawadi tosha kwangu ...thanks Ibra.]
Dah yakweli hayo {Birthday} ? mbona kaka yako hajatuambia?
Ila Ibrahimovic kaifanya siku yako iwe nzuri
HBD
Thank you my kaka yaani so happy today....kuanzia magoli mpka points related na vitu fulani kwangu .... GGMU