Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilisema so far hakuna kitu special Pep amefanya pale Man City
Hahahaaa kuna mtu alipinga kwa nguvu zote, time will tell
At least headlines za magazeti zitampatia mou na utd yake nafasi ya kupumua,its Pep's time to be tailed.
Never happen, jose atabaki kumake headlines simply because he is a special one hata pochetino jana kaongea.
 
1481397069482.png

mtani anaangamia jaman
vardy is baaaack
 
Hahahaaa kuna mtu alipinga kwa nguvu zote, time will tell

Never happen, jose atabaki kumake headlines simply because he is a special one hata pochetino jana kaongea.
Kwa kweli kama akicheza kama leo ata feli,
Sema haja fanya vibaya kama Jose, still ana la kuongea. But leo hiii nimemuonea huruma huyu jamaa
 
Nadhani ameshaamini kuwa EPL sio kama sehemu alizopita huko spain na ujerumani....
 
Kwa kweli huu mchezo wakio cheza leo sijawahi ona , very poor

Kafanya kitu ila so special, EPL ina mnyoosha

Festival fixtures(December/January) mara nyingi ndio inatoa mwelekeo wa top four ya EPL.Ni kipindi ambacho unaweza cheza mechi 4 ndani ya siku 10
 
Na niliskia ana lalamika sub 3 hazitosh, mwache ajionee EPL, ila defence yake ni mbovu kuliko hata ya everton kwa sasa.

Na Ranieri hajawahi fungwa na Man city pia , kaendeleza vipigo
 
Pia kuna habari kwamba katika mechi 14 za mwisho kashinda NNE tu, sijui kama ni kweli
Hahahaha may be

Ila leo credit kwa leceister ili rudi ile ya mwaka jana, possession sijui hata kama wamefika 20% lakin walikuwa wana accuracy na wana panda vizuri hasa mahrez, yaani nimejiuliza Pep alikuw amesahau kumsoma Tinkaman au ni ana shida gani!!!
Kesho tot wakishinda tu ana kuwa wa 5, hata mashabiki wa City washa anza miguno ya chini chini.
 
Kosa kubwa LA Pep ni kua na bif za kipuuzi na wachezaji na kwa mfano kamtoa Joe Hert kamleta Bravo koti tu hapo golini. Hili waingereza hawakulipenda ukizingatia Joe ndio kipa wao. Katoka hapo akaja kwa Yaya. Yaya huyu ni moja ya wachezaji alieisaidia city sn..... Sasa yeye anakuja tu na mambo Yake na kuparaganya timu.

Ukitizama safu Yake ya ulinzi unabaki kushangaa tu. Mara Leo huyu yuko hapa Mara kesho yuko pale.
 
Analeta ujuaji kwenye timu kwa mambo ya kingese acha aisome namba na bado ataona mengi tu mpaka may mwakani atakuwa amenyoka.. Na heshima itakuwa imeshuka
 
Na niliskia ana lalamika sub 3 hazitosh, mwache ajionee EPL, ila defence yake ni mbovu kuliko hata ya everton kwa sasa.

Na Ranieri hajawahi fungwa na Man city pia , kaendeleza vipigo
Alijua defense mbovu alizokua nazo la liga na bundesliga zitafanya kazi na epl aiseeeee
Ile ligi inahitaji ukuta mgumu na ndio maana mou alianza kusajili nyuma we angalia pale epl timu zote zenye defense mbovu majanga yanayowakuta mfano livapool hata wenga huwa anapata sana shida pale beki zake za kutumainiwa zikiwa mbovu
KARIBU EPL
 
Hahahaha may be

Ila leo credit kwa leceister ili rudi ile ya mwaka jana, possession sijui hata kama wamefika 20% lakin walikuwa wana accuracy na wana panda vizuri hasa mahrez, yaani nimejiuliza Pep alikuw amesahau kumsoma Tinkaman au ni ana shida gani!!!
Kesho tot wakishinda tu ana kuwa wa 5, hata mashabiki wa City washa anza miguno ya chini chini.
Ball possession ilikuwa 78 kwa 22.
 
Kosa kubwa LA Pep ni kua na bif za kipuuzi na wachezaji na kwa mfano kamtoa Joe Hert kamleta Bravo koti tu hapo golini. Hili waingereza hawakulipenda ukizingatia Joe ndio kipa wao. Katoka hapo akaja kwa Yaya. Yaya huyu ni moja ya wachezaji alieisaidia city sn..... Sasa yeye anakuja tu na mambo Yake na kuparaganya timu.

Ukitizama safu Yake ya ulinzi unabaki kushangaa tu. Mara Leo huyu yuko hapa Mara kesho yuko pale.

Asipojirekebisha msimu huu mwishoni ataoneshwa mlango wa kutokea.
 
Welcome to DRAW FC.
Man Utd 1-1 Stoke.
Liverpool 0-0 Man Utd.
Man Utd 0-0 Burnley.
Man Utd 1-1 Arsenal.
Man Utd 1-1 West Ham.
Everton 1-1 Man Utd.
The way Man Utd are DRAWING are DRAWING better than HB PENCIL 
loooooooo.
Ni kwa sababu Mfumo alokuwa nao S AF hakuna kocha ambaye ataweza kuumud kwa kipind hk kifup
Itachukua mda sana man u kuja kurud kwenye form
Kocha kukaa na tm zaid ya miaka 20 akija kuondoka ni lazm iwe tatizo kwa kwel
 
Back
Top Bottom