Mimi mwenyewe najiuliza hapaHerera kwanini Baily hajaanza?
MOU huwa ana misimamo yake ya ajabuMimi mwenyewe najiuliza hapa
Nafikiri José ameona ampe muda zaidi wa kurecover vizuri. Game ya leo ni ya kukaza; kwa mtu aliyekuwa majeruhi muda mrefu yaweza kuwa hatari. Game dhidi ya Zorya haikuwa ngumu kama hii. [HASHTAG]#nawazatu[/HASHTAG]Herera kwanini Baily hajaanza?
Ebu tumwaminini kocha...he has all the resources to know who makes it into the first 11. Sijui wewe unatumia nini ku-question upangaji wake wa timu?MOU huwa ana misimamo yake ya ajabu
Fellaini ataingia dakika ya ngapi![]()
![]()
![]()
![]()
Martial leo hayuko sawa kabisaMie sioni kigezo cha kumuacha Mata na Rooney nje ukampanga Martial ndani kisha timu ikifanya vibaya mnashangaa