Nimekumiss pia.Kaka mm niko poa kabisa nimekumiss sana Halafu nina Furaha sana wa jina amerudi .... ...... woyoooooooo Bailly is Back!!!!!!!
Rooney,Pogba,Mata,Mkhitaryan wote hawaelewani timu inalazimisha kupita katikati ,mechi inahitaji winga kupita pembeniDuh ya leo kali....Rooney naona hasomani vizuri na Ibra pia Blind na Young wanaogopa sana kupanda kutokana na Zorya wako vizuri counter. Kipindi cha pili Ibra inabidi asishuke sana na pia tempo iongezeke tukiwa karibu na box.
Wasiishie hapo, piga 3
Usituombee haya!Mnaweza kushinda hii mechi then mnarudi kwenye form yenu ya 1-1. Anyway sitashangaa kuona Wa-ukraine wakisawazisha mwishoni mwishoni.
naombeni link ya kustream live hii mechi ya man u
sevilla hayupo msimu huu jikazeniKwa jinsi nnavyoichukia Europa. Naonaga bora tutolewe tu.
Kombe limekaa siku mbaya sana.sevilla hayupo msimu huu jikazeni