Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimeona mata amekasirika hara benchi hakukaa huyu mourinho anamdhalilisha sana mata inauma aisee
 
203fb440f5378c71333eb48b83654816.jpg
 
Tumeshinda ila naona kama vijana hawako seriaz tunapoteza pasi mnoo
Nimejaribu kumfwatila herrera kipindi cha pili huwa anapotea sana mchezoni.
Ni Faraja beki Katili Baily karudi
 
Hongera kwa vijana na mashabiki wote tusubiri j pili.
Jumapili hamtoki aisee... Msijipe moyo!!! Game ya leo mmeshinda ila mmecheza vibaya mno
.
.
.
Ingekuwa ni dhidi ya Klabu ya EPL tungezengumza mengine.
 
Jumapili hamtoki aisee... Msijipe moyo!!! Game ya leo mmeshinda ila mmecheza vibaya mno
.
.
.
Ingekuwa ni dhidi ya Klabu ya EPL tungezengumza mengine.
Uliuona awanja ulivokua mkuu? Ilibidi kucheza kwa tahadhari sana kuepuka majeruhi, na hii kitu wachezaji waliambiwa toka mchana, hali ya pitch ilikua sio rafiki
 
Back
Top Bottom