Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa hili nakubaliana nawe...ila siku patience na team stability (kwa United) havizingatiwi kabisa...Moyes could have been a long term project...sasa baada ya 14 games, watu humu wanataka Mourinho afukuzwe, really?
Tunachukia anaporudia makosa yale yale kila match, ebu nieleze sababu ya kutomchezesha Mata game ya Everton ni nini??? Nani asiyefaham Mata anapokua uwanjani anavyokua na msaada kwa timu?? Yeye anatuingizia Fellain, shame
 
Hii game ndio itakua ni kipimo changu cha mwisho kwa Mou, sioni dalili ya kupona kabsa
 
Well said mkuu, next game tunapiga na Totenham, kipigo kingine kinatungoja aisee, nina marafiki baadhi ni asernal fans na wengine ni Liverpool fans, itabidi niwafate niwaombe wanipe siri ya uvumilivu wao wa vichapo/trophless
Mi nashangaa wenzangu humu wanakuwaje wana vumilia vipigo kias kwamba wanatetea hali iliyopo!!?

Ubaya ni kwamba kwenye moira ukisha shuka na ukaruhusu kushuka huku unachekelea ni kazi sana kurudi

Chelsea -iliwachukua miaka 100
Liverpool- mwaka wa 27 huu
Man city- miaka 44
Aston vila na everton - zaidi ya miaka 40 mpaka leo ndio walikufa hivo.
Manchester united kabla ya SAF-mika 26
Arsenal-mwaka wa 12 huu.

Siku zote ukishuka ukachukulia normal, kurudi ni kazi sanaaa!!

Yaan nashindwa kuzoea hali hii, kwa sababu najua tukipotea haturudi leo tena.
 
NB: kwann alimuweka Mata nj'e wakati Mata yupo form, Juan Mata is creative player on the ground, he can assist or score
 
Tunachukia anaporudia makosa yale yale kila match, ebu nieleze sababu ya kutomchezesha Mata game ya Everton ni nini??? Nani asiyefaham Mata anapokua uwanjani anavyokua na msaada kwa timu?? Yeye anatuingizia Fellain, shame
Nakuelewa braza. Ndiyo maana nikasema José ni binadamu, hivyo kufanya makosa hakuepukiki. SAF had similar days too. Ingawa kwa picha kubwa, kusema ukweli kocha ndiyo yupo kwenye nafasi kubwa ya kujua nani aanze first 11, kwani anawaona wachezaji kwenye mazoezi. Sisi kama mashabiki tunatumia hisia zetu tu na jinsi mchezaji fulani anavyocheza.

Siamini kama suluhisho ni kumfukuza José. Timu imeshafanya makosa ya kuwatimua Moyes na LvG. Sasa mashabiki tuwe wavumilivu na José apewe muda wa kuifanya timu itulie.
 
NB: kwann alimuweka Mata nj'e wakati Mata yupo form, Juan Mata is creative player on the ground, he can assist or score
I certainly know Mata's contributions to the team. But, don't make it like he has helpes the team to win in all the matches that he has played!
What makes you think you are in a better position to select players who make the first 11, than José?
 
Bro nina wasiwasi wewe SIO shabiki wa Manchester United. Umekuja tu kuleta mtafaruku na mivurugano ya kimawazo kwenye hili jukwaa (Don't ask me why).
 
Mpaka sasa Napenda atoke.

Ila akibaki (jambo ambalo ndio ltatokea) napenda afanikiwe. Aspo fanikiwa ntampinga wazi wazi kabsa kama ninavo fanya now mkuu.

Kama akifukuzwa unataka nani achukue nafasi yake?
 
Bro nina wasiwasi wewe SIO shabiki wa Manchester United. Umekuja tu kuleta mtafaruku na mivurugano ya kimawazo kwenye hili jukwaa (Don't ask me why).

I take my self as new kid on the block, nimekuja nimekuta mna ka status quo kenu, mna namna yenu ya kufikiria, kuna watu wenu mnawachukulia kama ndio role models wa uchambuzi hapa.
Nimekuja na idea mpya, nimekuja na namna yangu ya kufikiri inayo pishana na nyie, ni kama nimevuruga utamaduni wenu ndio maana hata wewe unaona kama naku disturb.
By the way who are you to say mimi siyo shabiki wa man u? Then unaniwekea conditions nisikuulize why!!?
Ruhusuni fikra mpya, tuache kudictate mawazo ya watu, siku za mwanzo naingia hapa nilisema, kwenye hili jukwaa hakuna shibiki bora zaid ya mwenzie, tunatofautiana mawazo, lakin sote tunaungana kuombea timu yetu ifanikiwe.
Nini kina kufanya wewe ujione ni shabiki wa man utd kuliko mimi!? Ukichunguza kwa makini utakuja kujua kuna ka status quo kalikuwepo hapa ndio nime kuja kukavuruga
Well am for it, ntatoa mawazo yangu kadri niwezavyo. Kwani tukipishana mawazo ni dhambi? Jamii isiyo na mawazo mbadala huwa haindelei mkuu.

Hakuna shabiki bora kuliko wengine sote tunaipenda man utd sote tunaitakia mafanikio.
 
Kwann Mou hakumchezesha Juan Mata? Kumbuka Mata anapokua uwanjani uwa ana offer vitu vingi! asiposhinda uwa ana assist, isitoshe Mata msimu huu kama ManOfTheMatch game kibao.
Mou akiendelea kwa style hii maisha yatamshinda pale OT

Sio kila game lazima aanze Mata last week Mkhitaryan alicheza vizuri kocha alikuwa sahihi kumwacha Mata ili Mikhi aanze kupata rhythm ili aweze kuadapt kwenye EPL although alipaswa kumuingiza Mata second half.Kumbuka ni sisi mashabiki pia tulikuwa tunalalamika kwa nini hawapangi Carrick,Mkhitaryan na Martial

Mata amecheza mechi nyingi na United ikafungwa so hakuna guarantee kwamba akicheza timu inashinda.

Fellaini ndio mchezaji anayechukiwa na mashabiki wa United mimi ni mmojawapo lakini ajabu ni kwamba makocha wote kuanzia Moyes,LVG na sasa Mourinho wao wanampenda kuna kitu wao as Manager wanaona kinawafaa
 
Duh! Yaani status quo with fake IDs?!? I'm done with you boy! So, take over the thread! You have succeeded in making a revolution by challenging the status quo!
 
Duh! Yaani status quo with fake IDs?!? I'm done with you boy! So, take over the thread! You have succeeded in making a revolution by challenging the status quo!
Yes! Its a revolution, i refuse to think in the way you want, i will think the way i want.
Toka siku ya kwanza hukunielewa, sidhani kama utakuja kunielewa na nina sikitika kwa hilo. kwa performance hii ya Mourinho bro utafika stage ya kunichukia nadhani, labda abadilike aanze kupata matokeo.
I detest very much the way mna ni treat kwa sababu ya kupishana mawazo. Hasa wewe. I detest very much watu kama wewe wanao taka kuweka namna ya moja tu ya kuwa shabiki wa man utd, wakati hakuna exactly model ya how to be a man utd fan.
Mwisho wa siku bado na kuhesabu wewe ni shabiki wa man utd tunaye pishana kabisa kabisa mawazo.
 
Go on boy...the floor is ALL YOURS.

NB: I'm way grown up kumchukia mtu ambaye anatumia fake ID. I will be insane to do so. So, no hard feelings boy. Peace out.
 
Go on boy...the floor is ALL YOURS.

NB: I'm way grown up kumchukia mtu ambaye anatumia fake ID. I will be insane to do so. So, no hard feelings boy. Peace out.

Okey young man
Its settled i'll be here

NB:am way grown up, kujibizana na mtu anayetumia fake Id, i will be an idion to do so. so no hard feelings boy. Peace out
 
Hii ishu ya kupeana muda ni uchizi mbona conte hajapewa muda na ana perform tatizo makocha wote wanajifanya wanajua mpira sana na hawataki kubadilika misimamo yao...... Pep anastruggle ila unaona ana nia ya kujifunza.
Tunapenda timu ila still kocha inabidi aonyeshe passion na wachezaji watafuata tu
 
Hakuna kocha anayeweza kufix hiyo timu ndani ya miezi 4 hata akija SAF now itamshinda,kufukuza kocha is not the best option so far
Mi nataka huyo dogo anijibu. Nimesoma malalamiko yake sijaona yenye mashiko.
Ndo maana najaribu kumuuliza ili anipe mawazo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…