Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Life under Mourinho is sweet huh? The Grazers family wapo njiani kumtafuta kocha mpya. Nasikia wamempa Mourinho hadi February kuwa in top 4 ama sivyo atalimishwa
 
Ningekua mshauri wa mourinho,ningemshauri fella asiingie kwenye penalty box yetu,hata kama tunashambuliwa,asubirie mipira inayoyoka nje ya box ndo aicheze. Hii si coincidence kila mara niyeye tu

Umewaza mbali sana. Jin.ga lile huenda makusudi au anauza mechi.
 
Less talent una maanisha nini ? Hivi enzi za SAF,Moyes,LVG ulikuwepo hapa JF

Unafahamu kuwa LVG aliwakuta RVP,Rafael,Chicharito na akawauza wote na aliwanunua Bastian,Schneiderlein,Darmian,Blind,Shaw,Herrera,Martial,Depay,Falcao,Di Maria,Romero,Rojo
Mourinho amenunua 4 players (kwa maoni yako talent player) ambao 2 kati yao (Pogba na Ibra) unawaponda
 
Khe kheee Kheeeeeeeee Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Pole sister angalau mmeambulia kapoint vinginevyo mmeponea tundu la sindano.
acha tu ila ndiyo mpira.......kama Liverpool kafanyiwa vile basi mpira wa dakika 90 upewe heshima yake.
 
Siku Mourinho akiachana na Fellaini timu itapiga hatua. Huyu mtu hajui mpira. Akiingia kazi yake ni kucheza rafu zisizo na maana hata kidogo.
 
Siku Mourinho akiachana na Fellaini timu itapiga hatua. Huyu mtu hajui mpira. Akiingia kazi yake ni kucheza rafu zisizo na maana hata kidogo.
Tatizo la Man U sio fellaini tatizo mourinho mwenyewe, mbona game kibao hajacheza na timu inacheza hovyo tu? Watandika mikeka jana niliwaonya kwa man u haiwezi kushinda mechi 2 mfululizo
 
Tatizo la Man U sio fellaini tatizo mourinho mwenyewe, mbona game kibao hajacheza na timu inacheza hovyo tu? Watandika mikeka jana niliwaonya kwa man u haiwezi kushinda mechi 2 mfululizo
Mechi za karibuni ikiwemo jana timu inacheza vizuri. Bila stupid mistake ya Fellaini saa hizi tungekuwa tunaongea mengine. Hata mechi na Arsenal tulicheza vizuri ila tatizo lingine Mourinho akifikiria tu kulinda goli kuna mtu anafanya stupid individual mistake ambayo huwezi kumlaumu Mou labda asifanye mabadiliko. Goli la Arsenal ni kosa la utoto wa Rashford.
 
Tatizo la Man U sio fellaini tatizo mourinho mwenyewe, mbona game kibao hajacheza na timu inacheza hovyo tu? Watandika mikeka jana niliwaonya kwa man u haiwezi kushinda mechi 2 mfululizo

Na hili suala ni trend hata mimi kuna comment niliongelea hili!

Sasa mechi ijayo watashinda uone watakavyoanza kuongea kuwa wamefufuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…