Manchester United (Red Devils) | Special Thread

manchester fans mnasema mmekuwa IMPROVED???
 

Attachments

  • _92685768_oldtrafford.png.jpg
    25.7 KB · Views: 28
manchester fans mnasema mmekuwa IMPROVED???
Mkuu ukiangalia statistics kihivyo conclusion yako inakua biased.. Huyo huyo moyes alikabidhiwa team ikiwa bingwa mtetezi wa epl! Binafsi naangalia uchezaji wa team kwa ujumla. I can see something in the future
 
Kombe ni la united msiwe na wasiwasi hao wengine wanatangulia na baiskeli za matope sisi ndo united hata tupitwe point 30 tutazifuta zote ggmu
 

Same incident ilimtokea Mr Bean 2009
 

Attachments

  • 1480359882200.jpg
    142 KB · Views: 26
Kwa kweli na mimi naanza kuamini kuwa jamaa kama ndio karate ana anza kuvua black belt ana rudi kwenye mkanda wa kijani sasa.
Japo kama shabiki najipa moyo labda siku moja ata change
 
Mourinho nilimkataa mapema sana. Bali kwa sabb sina nguvu ndani ya united basi, naona tu anapewa timu
 
Naona mashabiki wa manchester wakongwe na tunaowafahamu hapa jukwaani wanakimbizwa na vijana fan boys, glory hunters wanaotaka umaarufu kwa nguvu,

Mfarisayo
Dondonald
Nzi
Herrera
Teknology
RRONDO
Belo
Everlenk
JOAQUEM
Cathode rays, et al pumzi imewaisha?
 

Boss Mimi nipo sana tu siwezi ishiwa pumzi ukiniona tu Mimi sipo ujue ubize wa maisha tu umebana,na hicho
ndicho nilichokipost leo, plastic fans huwa hawakosekanagi so usipate shida nao.....pumzi hatujaishiwa ila kila jambo na majira yake, kuna majira ya kukaa kimya na kuna majira ya kupiga kelele.....
 
Naomba niwe mkweli timu kama iko hovyo tuseme na ndio ilivo, wasiopenda ushindi ni tim gan!!? Hata Arsenal walio kaa a decade au Liver wamekaa almost 3 decades hawaja chukua ubingwa wana penda washinde, tujifunze kukosoa na kuisapot timu na ku kubali reality.

Glory hunters huwa wana switch tim ikishindwa, ila tunao kosoa bila kuhama lazima tuwepo, ni historia ya kujikosoa ndio ilifanya kina Scott Duncan wakaondoka akapatikana Matt Busby, tabia yakujikosoa ndio iliyo fanya kina Mc Guiness wakatolewa akarudishwa Sir Matt Busby, ndio kujikosoa kuliko fanya kina Rowan Atkinson wakatolewa akaja Sir Alex, kila kocha alivumiliwa kwa muda wake na alikosolewa kwa namna yake Mourinho naye hata kosa hapo.
Klabu yetu ina historia ndefu ya ups and downs, but when we were down sidhan kama mashabiki walikuwa kimya tuu wakisubiri kurudi juu.

Lazima tujikosoe because that's who we are and that is our history.

Cc All who thinks they are genuine fans and others are fake
 
Iceman 3D,ningekuwa upande wako kama performance ya timu ingekuwa stagnant kiasi hicho,kila siku kuna kitu katika uchezaji na nafasi za kufunga zinatengenezwa za kutosha na shots on target ni wastani wa 5 kila game. Mou bado hastahili kunyooshewa vidole maana amekuwa akionyesha mabadiliko kila game. October ilikuwa mbaya lakini Nov tumepiga mpira mzuri,na attempts za kutosha. Huwezi kuifananisha man ya mou na ya lvg yenye back pass kibao ili kuongeza umiliki wa mpira. Let the man breath,
 
Spot on! Tupo wiki ya 13, halafu mtu anakuja kutoa tathmini as if msimu umeisha!
BTW, sielewi kukosoa kwake (hata kama tukikubali mawazo yake) kutabadilisha vipi kile anachokifanya Mourinho!! Au Josè uwa anapitia thread hii nini?!?

Let's stay positive; huwezi mtu ati sasa kusema José hana maana (licha ya mimi kutomkubali José kama kocha wa soka) baada ya mechi 13. Sawa, nini mbadala? Na tutakachokisema kitakuwa na maana gani kwa timu?
 

Khaaa!!
Watu huwa wanatoa tathimin ya dakika Ishirini za kwanza za mchezo mmoja iweje ni shindwe kutoa tathimini ya mechi 13!!, nadhani hata uzi ulifunguliwa ili tuwe tunafanya tathimini kama hizi, na ukumbuke hatuja cheza michezo 13,tu ni zaidi ya hiyo. So kusema tathimni ya michezo 13 haitakiwi hilo sioni kama lina maana.

Kwani mkuu ukimsifia Rooney siku tumeshinda huwa ana pitia thread humu!!? Sasa mnataka kwenye uzi tuwe tuna fanya nini, maana tumeshindwa kuifunga timu ya 16 kwenye ligi, tulishindwa kuifunga stoke ikiwa inashika mkia, lazima tujiulize tuna kuja hapa na tunajadili kama washabiki. Huyu si Mou yule wa Madrid there is something wrong with him.

Ndio wapo watu ambao wanapenda kusifia tu, wengine hukaa quite na wengine hukusoa, sijawahi mkosoa Mou hapa ndani kama leo, yes kwa sababu jana niliona kwa anacho kifanya timu yetu haitaenda mbali.

Ndio kwa sasa sina full positive mind kuhusu Mou lakin nina Open mind namuacha na timu afanye anacho jua (though kwa sasa sioni anacho kifanya kama kina saidia). Kama shabiki naombea timu ifanye poa vile vile na uzuri ikifanya poa na mimi nafurahi.

Sisi sote ni washabiki wa man utd hakuna shabiki bora wala shabiki mbaya. Tuna bishana na kupishana mawazo kwa ajili ya timu yetu sote there z nothing wrong here mkuu.
 
Nime acknowledge kuwa napenda Mou apewe muda kama makocha wengine. Na acknowledge kwamba makosa mengine yanatokea kutokana na kurithi kwa makocha ambao hawakufanya vizuri miaka 3 iliyo pita hasa Moyes (LVG hakufanya vibaya ki matokeo, kuna mambo madogo tu alikuwa akikosea) pia
Huwa sipendi kumlaum kocha kwa kosa la mchezaji kukosa goli. Nalaumu ana react vipi akigundua kuna tatizo kama hilo.

Najua utasema, tunacheza vizuri ila bahat mbaya, nooo siyo bahat mbaya imetokea mara nyingi kias kwamba haitakiwi iwe bahat mbaya, tume draw na stoke, burnley, arsenal na west ham katika point 12 tumechukua 4 kwa mtindo huo huo. Tuna anza mpira slow, tumefungwa magoli ya mapema mengi kuliko timu nyingine kubwa yoyote, imetokea na chelsea, na Wale waturuki na juz.
Je kocha amefanya nn baada ya kuona hayo mambo yametokea ili kuimprove!!? Maana ndio kazi yake
Mpira wetu una lack quality kabsa ndio maana tuko hapa tulipo, na kama tutaendelea hivi bila kuchange, nyie wenyewe mtakuja kuongea huko mbeleni.

Unless wenzangu labda hamuangalii mpira, ila mara ya mwisho Mou kufanya sub ya maana kwenye ligi iliyo leta matokeo pale yalipo hitajika ni sub ya Rashford mechi na hull miezi almost mi 3 iliyo pita. Are watching different games guys!!?.

Kinacho tupa hope inatakiwa iwe ni utamaduni wetu wa kuwavumilia makocha na ushabiki wetu kwa timu yetu, ila currently mambo yanavyo enda ther z little or no hope. Wachezaji hawakosi kwenye lawama lakini Mou kama kocha namuweka mbele.

May be hapa kwenye uzi kulikuwa hakuna watu kama mimi enzi hizo you were all happy whether tumefungwa or not, but nimekuja i will be very critical as much as i can and when we win ntafurahia as much as i can, tuzoeane na tuvumiliane, na tupendane huku tukifurahia tofaut zetu za kimawazo sote ni wa timu moja.

*hakuna shabiki bora, sote ni mashabiki sawa, sote ni wana man utd bila kujali tuna toa maoni gani.
 
Waambie ukweli wenzako mkuu. The red devils' boat is sinking . Even though truth hurts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…