Mbona dogo first half alikua yuko poa ila alionesha kama kupaniki maana alikua anafanya faulo sana na kurudisha ovyo kwa jones, kipindi cha pili mwanzoni ndio alipotea but akaja kujirudi,
So far timu inacheza vizuri mara 1000 zaidi ya van gaal, tatzo ni umaliziaji tu na special one lazima atakua analitafutia ufumbuzi, hajawahi kushindwa.
Kweli kabisa maana ilikuwa butua ila kwa sasa inacheza vizuriTangu SAF ameondoka timu haijawahi kuwa vizuri but now timu inacheza vizuri ukilinganisha na msimu uliopita the problem ni kwamba haipati matokeo
Hahahaaa I would rather have Mourinho suspended in every match than LVG sitting and taking notes in every match,All the best. For as long as sio tishio kwa uwepo wetu kileleni kila la kheri kwenu!
I still love Jose sometimes huwa napata shida kuwatania.
I love Jose and Mata...ila mara mojamoja vijembe muhimu na martial artist wenu Zlatan!!!
Hahaha ila very funny...Jose (coach) has more red cards than Lahm (defender)!!!! [HASHTAG]#think[/HASHTAG]
Kucheza vizuri bila ushindi = zero. Pretty football don't win points , goals do.
All the best. For as long as sio tishio kwa uwepo wetu kileleni kila la kheri kwenu!
I still love Jose sometimes huwa napata shida kuwatania.
I love Jose and Mata...ila mara mojamoja vijembe muhimu na martial artist wenu Zlatan!!!
Hahaha ila very funny...Jose (coach) has more red cards than Lahm (defender)!!!! [HASHTAG]#think[/HASHTAG]
nimemwonea huruma Steven Gerrard mpaka anastaafu hajawahi kuchukua ubingwa pale uingereza.12 years now Arsenal wanacheza vizuri lakini hawajawahi chukua ubingwa wa EPL
Mkuu ni wewe kweli au?
Una Blind moja kati ya mabeki bora wa pembeni wenye kujua kupiga krosi zenye macho, unamng'ang'ania Darmian.
Nimeanza kukosa imani na mbinu za Mourinho.
Ubingwa tushakosa hata nafasi ya Uefa tunaelekea kuikosa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa I would rather have Mourinho suspended in every match than LVG sitting and taking notes in every match,
Uyu rashford ndio anatia gundu man ukikosi cha leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiangalia statistics mpaka sasa mou yuko nyuma ya van gaal kwa goals scored, chances created na pissession nadhani LvG tatizo lake lilikuwa side passes tu
Ni kweli i meant more shots per gameHapana kipindi cha LVG kutengeneza chances ilikua ngumu sana. Timu inacheza dakika 90 inatoka na 1 shot on target. Sasa hivi tunauwezo wakutengeneza chances za kufunga na shots on target nyingi sana. Tatizo ni umaliziaji tu.
Statistics za wapi hizo mkuu.. Enzi za lvg tuliongoza kwa pass huku tukiwa na zero shot/attempt! Sasa hivi tunacreate chances ni vile bahati haijawa kwetu tu.. Ukiangalia mechi za burnley, arsenal, stoke na hata ya jana unaona ni jinsi gani makipa wao wamecheza vizuri, tutatisha tu mi naamini mou ndio kocha sahihi. Niliachaga kuangalia mechi zetu enzi za moyes na van gaal ila kwa sasa naangalia mechi vizuri kabisa pamoja na kwamba matokeo hayajawa mazuri...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiangalia statistics mpaka sasa mou yuko nyuma ya van gaal kwa goals scored, chances created na pissession nadhani LvG tatizo lake lilikuwa side passes tu
Lvg alipata hizo points wakati EPL ikiwa mbovu kuliko miaka yote, epl ya msimu huu huwezi kulinganisha na msimu uliopita...Ni kweli i meant more shots per game
Wachezaji wa van gaal waliuwa wana funga sana kuliko wa Mourinho.
Na Mou kaiptwa point 7 na van gaal mpaka sasa
Dah! Yaani unatumia Liverpool kama mfano wa kuigwa na Man United?!? Wewe ni shabiki wa United kabisa?!?tukamie Europa kama Liva walivo fanya last year
Ee ni shabiki wa Man Utd lazima tuwaige wao, au tutoke Europa tukamie ligi.Dah! Yaani unatumia Liverpool kama mfano wa kuigwa na Man United?!? Wewe ni shabiki wa United kabisa?!?
Sasa kama tulikuwa na zero shots tulishindaje mechi nyingi kuliko za Mou!? Nenda kacheki msimamo wa mwaka jana tukiwa tumecheza mwch 13 uone.Statistics za wapi hizo mkuu.. Enzi za lvg tuliongoza kwa pass huku tukiwa na zero shot/attempt! Sasa hivi tunacreate chances ni vile bahati haijawa kwetu tu.. Ukiangalia mechi za burnley, arsenal, stoke na hata ya jana unaona ni jinsi gani makipa wao wamecheza vizuri, tutatisha tu mi naamini mou ndio kocha sahihi. Niliachaga kuangalia mechi zetu enzi za moyes na van gaal ila kwa sasa naangalia mechi vizuri kabisa pamoja na kwamba matokeo hayajawa mazuri...