Kibanda umiza kuna mzuka sana.Vibanda umiza vya ukweli sana kuangalia game kama ya leo! Raha yake ushinde; ukifungwa baba, utajuta kuingia kibandani!
[HASHTAG]#letsdoitunited[/HASHTAG]
Ozil was still in bulgaria akisherehekea goli lake alilowafunga Ludogorets.Pass master na Herrera walimweka Ozil mfukoni
Ozil ni wa game kama hizo,atafunga magoli ya kila aina. Game ngumu huwa anatangatanga tu uwanjani.Ozil was still in bulgaria akisherehekea goli lake alilowafunga Ludogorets.
Hahahhahaha heri yako shabiki wew unajielewaKweli sijui huwa tunakuwaje hasa at Old Trafford. Sasa hivi ukichanganya na Mourinho tunakuwa kama Mbwa kwa Chatu.
Umeongea ukweli kabisa, sijawahi kumuona ozil akicheza vizuri kweny gemu kubwaOzil ni wa game kama hizo,atafunga magoli ya kila aina. Game ngumu huwa anatangatanga tu uwanjani.
Unabahati sana wewe......
Vijana wamecheza vizuri sana ila hatukua na bahati, sometimes unaitaji bahati kupata 3points, De Gea alikua ana'chat Instagram leoPamoja na decision mbovu za refa hii game ilikuwa ya kushinda hata goli 4,tumefanya uzembe mkubwa sana.
Braazaa, mbona unakubali kushindwa? Ngoma imetoka droo...akupe chochote nawe mpe chochote, ngoma inakuwa droo piaUnabahati sana wewe......