mabesela
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,294
- 680
Asante, ngoja nijisogeze maeneo rafiki kwa game.Saa tisa na nusu
Asante, ngoja nijisogeze maeneo rafiki kwa game.Saa tisa na nusu
Litoto mbele nyuma Pogba kz wanayo team Mr bean
Alafu lile Toto Rashford limesimama no 9 leo litakimbia Na mpira mpk kupita goli... Beki za kati za gunners Leo viuno vitavunjika
Leo Ozil anawekwa mfukoni Leo maana Carrick Na Herrera ni great pair....
Ubarikiwe NtuzuIla naona Utd wamejipanga kupoza kasi ya gunners. Yaani gunners kila wakikukuruka Utd wanapoza ndio maana kuna Fundi Carrick Na Herrera
Ha ha! Naona unatamani United ishinde ili Goobers wasiwasogelee! I will take this!Ila naona Utd wamejipanga kupoza kasi ya gunners. Yaani gunners kila wakikukuruka Utd wanapoza ndio maana kuna Fundi Carrick Na Herrera
Noooh is not like that Joe. What I want is José to keep his record on Mr BeanHa ha! Naona unatamani United ishinde ili Goobers wasiwasogelee! I will take this!
Watu tunajua mpira ukiona kikosi tu Basi unajua nini kinatokea.Ubarikiwe Ntuzu
Anapigwa kwa hiyo sms yako au,,,Leo arsenal anapigwa
Wewe subiri bado muda kidogo mpira uanzeAnapigwa kwa hiyo sms yako au,,,
Vibanda umiza vya ukweli sana kuangalia game kama ya leo! Raha yake ushinde; ukifungwa baba, utajuta kuingia kibandani!Nipo kibanda umiza kushuhudia jinsi arsenal anavyopigwa Leo
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]