Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Around 60s - 80s minutes Watu Walikuwa Na Maneno hapa
😀😀😀😀
😀😀😀😀
Yaani Goobers kwa United sijui uwa mnapagawa nini!! Backline ya Jones na Rojo lakini 1 shot on target?
Hili ndilo la msingi..ni heri kushuka daraja lakini siyo kufungwa na timu hizi: Loserfools na Goobers!cha muhimu hatujafungwa na Arsenal.
Si uende kwenye uzi wenu ukawaambieGiroud !!!!! Thanks big OG
Yaani Goobers kwa United sijui uwa mnapagawa nini!! Backline ya Jones na Rojo lakini 1 shot on target?
Kweli sijui huwa tunakuwaje hasa at Old Trafford. Sasa hivi ukichanganya na Mourinho tunakuwa kama Mbwa kwa Chatu.
Afadhali wewe unaijua timu yako ikicheza na United kuna wenzio walikuwa wanapiga sana kelele kabla ya mechi,tungekuwa kwenye fomu leo zilikuwa goli za kutoshaKweli sijui huwa tunakuwaje hasa at Old Trafford. Sasa hivi ukichanganya na Mourinho tunakuwa kama Mbwa kwa Chatu.