Ina delay ya few seconds...kutegemeana na uimara wa mtandao.hii unaona live?
Lile goli lilikuwa siyo la kuzuilika...individual brilliance!Another problem ni kuruhusu kufungwa goli mapema (ndani ya dakika 15) timu inakuwa inacheza kwa presha kubwa
Pogba hajatolewa, katoka kwa kuumia..ingawa nakubaliana nawe kuhusu kuingia Zlatan..Team selection na sub zinaendelea kumuangusha Mourinho ,kumtoa Pogba unamuingiza Zlatan while tayari una Rooney,Martial,Rashford uwanjani na benchi una Mata na Mkhitarian
Tunaanza mechi tumesinzia game ya Man City,Chelsea na leo tunaruhusu goli ndani ya dakika 15 za mwanzoLile goli lilikuwa siyo la kuzuilika...individual brilliance!
Sidhani kama ilikuwa sahihi Pogba kuanza mechi ya leoPogba hajatolewa, katoka kwa kuumia..ingawa nakubaliana nawe kuhusu kuingia Zlatan..
Jifunze kusoma vitu uelewe hoja, au kusoma hujui ??kumbe arsenal akikamata nafas ya pili had ya nne ashakuwa bingwa bas kama ndo hivyo kila mwaka ni mabingwa hakuna haja ya kumlaum wenger kumbe hata nyie mnajitambua
Punguza munkali mkuu tuivumilie ndo timu yetu tena lakini inaumiza sanaHii timu inachosha sana, naona uongozi unahitaji kuwapa wachezaji na kocha reality check hili suala la muda ni upumbavu kikosi tulichonacho hakihitaji muda kuona matokeo upuuzi kama huu hautokei bayern, Madrid, Barcelona
Uandishi wako unadhihirisha wewe ni mnazi wa juzi kama si van persie basi rooneyJamaa unabwabwaaaja kama ushaaxukua ndoo vile... Ligi bado kijana...
Sidhani kama ilikuwa sahihi Pogba kuanza mechi ya leo
Wow thats deepamesahau kuwa haijalishi umeanzaje........kinachoangaliwa umemalizaje. ..........
Special 1 kamsahauDuuu carrick ndo game zake hizi afu why mkhitaryan haanzi?
Kuboa ndio kawaida ya special oneIla Mou ananiboa sana kumchezesha Pogba namba kumi. Anampa majukumu yasiyo yake Pogba nafasi yake ni namba nane, kumi hawezi hata kidogo.
Kama vp angempumzisha basi nafasi yake acheze Mata, Hivi Mata anakaaje Benchi?.
Anyway kafanya vizuri kumpumzisha Ibra na kumuanzisha Rooney, pia nimefurahi angalau nimemuona Benchi Mikit nadhani atakuwa na dakika chache uwanja. Ni jambo jema pia kumuanzisha Martial angalau akili yake isozoee kukaa Benchi akapoteza kiwango chache.
Am waiting.....!!
GGMU GGMU GGMU GGMU