Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaahaaaaaaaaaaahaaaaahhahahajahhahahahahahahhahahahahahahhajahahahahahahhahhah

Kimewaka.....hhhhhahhahahahahahhahahahahahahajajajajjahahahahhahahahahha
 
Daaah hii MAN U ya sasa maumivu,morinho mmbishi sana huyu mzee hv kwann anashndwa kuwa na kikosi rasmi cha kuanza haya ndo yaleyale ya van gal.
 
Good 1st half performance...the team needs to just put the ball into the net..
 
Team selection na sub zinaendelea kumuangusha Mourinho ,kumtoa Pogba unamuingiza Zlatan while tayari una Rooney,Martial,Rashford uwanjani na benchi una Mata na Mkhitarian
 
Back
Top Bottom