Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rashford anacheza kila wiki,tatizo anachezeshwa winga.

Rashford kucheza as leading CF under Mourinho itakuwa next season. JoMo anapenda strong, powerful CF, Rashford is a lightweight hadi abuild muscles ndipo ataweza kucheza pale endapo Mourinho ataendelea kuwepo Old Trafford up to that time.
 
Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa
28bceabe0129799990a480962e905b8e.jpg
 
Labda umesahau, 2013 man utd walikuwa mabingwa wa EPL. Timu yako haijachukua EPL zaidi ya miaka kumi sasa. Kuna watu humu wanapiga kelele lakini mara ya mwisho Arsenal anachukua kombe wengine walikuwa na miaka 10!
Anza kuhesabu kuanzia Hiyo season huu unakata msimu wa nne...(ambao kimsingi hamna matumaini)

Ilianza 1,2,3,4....hatujui itafika wapi

Cheer man
 
Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa
28bceabe0129799990a480962e905b8e.jpg
Mshkaji anajua sana... Bado chemistr y ufungaji haiko pouwa ila ikiwa pouwa pale.. Tm itakuwa pouwa saana..
NB HONGERENI WAPINZANI
 
Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa
28bceabe0129799990a480962e905b8e.jpg
So what? Mwisho mmeambulia point 1. Wakati wale mnaojaribu kujilonganisha nao wanachanja mbuga.
 
Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa
28bceabe0129799990a480962e905b8e.jpg

mzbzdiliko makubwa yalianza kwenye game na stoke city bado ana miaka 23 ana mengi ya kujifunza kaja kwenye timu isisyo na mabahili mwakani ajiandae kuletewa mafundi wengine wafanye kazi ya maana

Rio ferdinand aliongea kwamba kwa sasa manchester united inaanza kuwekeza kwa pogba,martial,rashford na lingard wanataka timu ijingwe kupitia hawa wanahitaji kusajiliwa watu wa maana namuelewa sana rio ferdind pogba ni hazina kubwa sana ya baadae powerfully midfielder.
 
Nilikuwa Sijui Kama Ubingwa unapatikana Kwa Pasi nyingi na Mashuti Fiza Mengi... Hongera Mkuu Kwa Timu yenu Kupiga pasi Na Mashuti Mengi.. Mwaka huu munatisha... Mashuti 30 bila ya goli!!!! Nyie Wakali... Nawaonea Huruma Wale Wabovu Wenzangu Liverpool, Arsenal na Mancity Kwa Mashuti 7 lakini Magoli 4... Wanapaswa Wajirekebishe Angalau Nawao Wawe Kama Nyie Mashuti 30 bila ya Goli..
😀😀😀
Mkuu mbona majungu hivyo awa ni wakaanga sumu lakini sio kwa majungu haya
 
mzbzdiliko makubwa yalianza kwenye game na stoke city bado ana miaka 23 ana mengi ya kujifunza kaja kwenye timu isisyo na mabahili mwakani ajiandae kuletewa mafundi wengine wafanye kazi ya maana

Rio ferdinand aliongea kwamba kwa sasa manchester united inaanza kuwekeza kwa pogba,martial,rashford na lingard wanataka timu ijingwe kupitia hawa wanahitaji kusajiliwa watu wa maana namuelewa sana rio ferdind pogba ni hazina kubwa sana ya baadae powerfully midfielder.

Keep Dreaming with Your False Hope!!
 
Kuuzwa kwa michael keane ni tatizo kocha alieshiriki huu upuuz ni mpuuzi dogo nimemfuatilia game zake ni mgumu sana akikomaa zaid anaelekea kwa ferdinand na terry dogo ana miaka 23 tu
 
Kuuzwa kwa michael keane ni tatizo kocha alieshiriki huu upuuz ni mpuuzi dogo nimemfuatilia game zake ni mgumu sana akikomaa zaid anaelekea kwa ferdinand na terry dogo ana miaka 23 tu
Nadhani ni mou maana van gaal alimtumia huyu
 
Keep Dreaming with Your False Hope!!

una kazi kubwa sana unachopenda kusikia na kwamba manchester united haipo kama unavyopenda ni kweli imekufa ubingwa ni wa liverpool na timu inayojengwa vizur ni liverpool hakika klop ni kocha bora

unatumia nguvu nyingi sana hapa unaongozwa na chuki zaid kuna mdau mmoja aliwah kukuambia kuna post zingine zinahusu mashabik wenye timu yao WEWE UNAUMIA NINI KAMA WANAJIFARI?
 
LVG after 10 EPL Games= 20 points
Moyes after 10 EPL Games=17 points
Morihno after 10 EPL Games=15points,

Inauma sana
 
Nadhani ni mou maana van gaal alimtumia huyu

kosa kubwa sana hili mkuu sijui kama kuna kipengele wameweka cha kumrudisha kacheza pamoja na kina pogba na walichukua vikombe viwili wakiwa under 21
 
Back
Top Bottom