Hongereni Wakuu humu. Huyu jamaa Pep Guardiola mwache aambulie vipigo tu sijapenda kabisa jinsi anavyomnyanyasa Yaya Toure.
Kuna mtu kakosekana kwenye hii karamu hapa jukwaani....
Atakua bado anaendelea kusubiri uchambuzi aliokua anahitajiBila shaka >>@Mentor
Juzi ameanza kujikanyagakanyaga juu ya Toure. Muda si mrefu tutamuona akimpanga Toure hata bila apology toka kwa agent wa Toure na toka kwa Toure mwenyewe. Subiri Citey wawe wa 2 au 3 katika ligi utaona atakavyofyata. EPL sio La Liga au Bundesliga.
Tunashukuru mkuuHongereni Wakuu humu. Huyu jamaa Pep Guardiola mwache aambulie vipigo tu sijapenda kabisa jinsi anavyomnyanyasa Yaya Toure.
Pep next game anacheza na nan?Gurdiola Baada Ya Kushinda Vile Vijimeche Vya Mwanzo Alianza Kiburi Pale Alipohojiwa Na Mwandishi Kwenye Press Conference Kuhusu anavyoiona EPL!!!!
Kwa Jeuri Alijibu Kuwa Ligi Kuu Ya Uingereza ni Ligi Nyepesi Sana na Haina Ugumu wowote, Ya Kawaida tu Wala Haiizidi Bundes Liga na La Liga Kwani Hizo Ndiyo Ligi Ngumu Tofauti Na Watu Wanavyozusha Propaganda Kuwa eti EPL ni Ligi Ngumu Duniani..
Hatumae Tokea Atoe Kauli Hiyo Basi Hajawahi Kushinda Tena Ni Vipigo tu! Ni Wazi Kuwa Anafahamishwa Jinsi Ligi Kuu Ya Uingereza ilivyo..
Media na dunia inge'shake, baada ya kipigo cha 4-0 media zinamuita Mou eti the Frustrated oneGame6 no win
Ivi angekua mou ungekuaje??
Next game tunacheza na nan?Scholes anakwambia haamini kama fellain ana kiwango cha kumuweka bench michael carick tumebak na hii injini ya sir alex
nakumbuka enzi za sir alex nahis mashabik wengi wa united hatukuwah kuona umuhimu wa huyu carick hii ni kutokana na uwepo wa wachapa kaz wengi kama mchezaji wa kawida kumbe wap kamfanya had rojo kuwa fiti smalling ana wenge sana
alikuwa anaomba radhiView attachment 424800
Jamaa inaelekea hatosahau hii results last week. Hapa ni katika mechi vs Man City masaa machache yaliyopita. Inaelekea anawakumbusha wachezaji wake juu ya kilichowatokea.
Sawa hakua na mpango na hii game, ila sisi tushashinda tumesonga mbele, yeye 6 game without winGuardiola hakuwa na mpango na hii mechi. Tangu jana alikuwa anasema ni mechi ya kawaida. Kutoshinda mechi 6 mfululizo ni juu yake. Usijali tutapangiwa na nyinyi muda si mrefu najua utaongea hivi hivi kabla ya mechi lakini baada ya Arsenal kuwapiga ubaya utakuja na visingizio vya kutopenda mchezaji Fulani kucheza badala ya mchezaji Fulani. Ndivyo wapenzi wa Man Utd mlivyo siku hizi.
Shukran sana mambo ndo kwanza yanaanza kwake .Hongereni Wakuu humu. Huyu jamaa Pep Guardiola mwache aambulie vipigo tu sijapenda kabisa jinsi anavyomnyanyasa Yaya Toure.
Hongereni Wakuu humu. Huyu jamaa Pep Guardiola mwache aambulie vipigo tu sijapenda kabisa jinsi anavyomnyanyasa Yaya Toure.
Next game tunacheza na nan?