Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Luke Show hayuko vizuri kabisa,

Halafu kwakweli sivutiwi na mpango wa Mou kumchezesha Pogba namba kumi.. anampa presha za bure hasa kwenye mechi kama hii.
 
Man Utd wanaweza ku-afford kuweka kikosi cha kwanza sababu next match watacheza vs Liverpool killers Burnley. Mourinho mwenyewe ali-indicate baada ya kipigo cha magoli 4 wanategemea ushindi in next few league games. Tusubiri tuone kama arrogance italipa. Sitaki kusikia kisingizio kuwa baadhi ya wachezaji walikuwa wamechoka sababu ya mechi ya jumatano (vs Citey)
Leo humu huambulii kitu nenda kawape pole wanalondon wenzako
 
Luke Show hayuko vizuri kabisa,

Halafu kwakweli sivutiwi na mpango wa Mou kumchezesha Pogba namba kumi.. anampa presha za bure hasa kwenye mechi kama hii.
Unataka nani acheze kushoto wakati Baily ameumia Rojo na Blind wamerudi kucheza kati
 
United hawajaweka hata kinda mmoja si benchi si first XI. Kweli jana sio leo. Mourinho wa juzi (at Chelsea) alikuwa anawapa makinda wachache katika mechi kama hizi.
 
Uelewa ni kitu adimu sana kwa Wabongo,

Wapi nimesema nataka fulani acheze nafasi ya Show? Nilivhozungumzia ni performance yake kwa mechi hii ya leo hususani dakika hizi alizoveza.
 
Mhhh!!! Rashford hujamuona ?

Acha propaganda Jose huwa hafanyi unachozungumza na ni muwazi kwenye hilo
 
Uelewa ni kitu adimu sana kwa Wabongo,

Wapi nimesema nataka fulani acheze nafasi ya Show? Nilivhozungumzia ni performance yake kwa mechi hii ya leo hususani dakika hizi alizoveza.
Shaw alivunjika hakucheza almost last season na mwezi uliopita aliumia tena hii ndio game ya kwanza anacheza tangu arudi
 
Back
Top Bottom