Kweli kabisa ila nadhan kuna beki wa monaco mou anamtakaMourihno alitakiwa ampange carrick leo yule ni namba 6 in nature ndo maana kuna kipindi hata babu alikua anamtumia kama beki 4/5
Timu haijabalance leo kati ya viungo/beki na forward,beki imepwaya sana leo
Herera ni mzuri ila katika marking hayuko vizuri sana na pasi zake nyingi ni Square pasi/pasi za pembeni tofauti na carrick ana uwezo wa kulazimisha pasi za kwenda mbele
Owen hagrevas alisema ni zamu ya pirlo wa manchester/carrick kucheza na Pogba
Ukiangalia leo Chelsea amechezesha viungo wawili wakabaji wa asili kabisa/Kante na Matic
Pogba kapata kazi sana kwani ilibd afuate mipira nyuma na kuipeleka mbele.
Inabid tusajili namba mbili wa asili Valencia anazidiwa japo anajitaidi
Bado mapema tumpe muda kocha
mwehu mama yako baada ya mechi ya manchester united kafanya nini?
Donald unaua hahahahaSpend the money wisely,simply glory time is over mmebaki jina ukiangalia hakuna jipya nilisema na narudia tena Mourinho atatupa furaha sana msimu kama alivyo tufurahisha msimu uliopita.
![]()
Nawakumbusheni tu jana mmegongeka 4-0 pale darajani na mlizibwa matundu yote ya kutolea hewa next tym kuweni na nidhamu alafu kelele za kua eti ni mechi ya 9 hatutaki maana mliongea sana game 3 za mwanzo......Man 4ngo.
Kwaio pole yangu huitaki??Nimeua Kwani mpka unipe pole!!!! .....life goes on
Khaaa na wewe embu punguza kuwa na tafsida kidogoooo tumia lugha za kisport.wake zetu" jana tumewaingilia kinyume na maumbile ...........
Tatizo lako jirani ni kua hautaki kukubali kua Fergie kaondoka na identity yenu bado unaamini wewe ni giant sana bado unajifariji kua kukosa kwako UCL ni bahati mbaya tu kumbe ni uhalisia kua haustahili kuwepo na njia unayoitumia kujipanga ndio mbovu zaidi after babu mmeajiri waalimu watatu ambao hakuna jipya so far ni wale wale na tumeanza kufanana nna uhakika j5 utapata matokeo chanya utakuja hapa kwa vurugu sana kua mmerudi mnasahau kua mna kansa.







donald we ni nyoko duuuh hahha kansaParents has got nothing to do with us michezo ni burudani kakamwehu mama yako baada ya mechi ya manchester united kafanya nini?
Akuuuuu stakiiiiii mieeeeeeeee!!!!!........pole ya kinafiki....... pole yako hainisaidiii bana yashapitaKwaio pole yangu huitaki??

donald we ni nyoko duuuh hahha kansa
Doesnt change najua inakera najua, najuaAkuuuuu stakiiiiii mieeeeeeeee!!!!!........pole ya kinafiki....... pole yako hainisaidiii bana yashapita![]()
![]()
![]()
![]()
Output ya mou haijawahi kunivutia ata sikumojaHawataki kukubali ila hali yao tete kwa mwendo wao huu wanawapa confidence hadi timu ndogo kuja kupambana nao,jana wamecheza ovyo sana.
Hakereki ntuuuuuuuu!!!!! .....life goes on full stop.Doesnt change najua inakera najua, najua
Fine... Karibu gooners ts called all the way up... West hills londonersHakereki ntuuuuuuuu!!!!! .....life goes on full stop.
Kule mbona nitakuja tuuuu tenaa sanaaaaaa si unajua msiba hauna mwenyewe Leo kwangu kesho kwako....Fine... Karibu gooners ts called all the way up... West hills londoners

Hahahaaa tupo tofauti chief, wengine raha ya mpira ni kuona vijana wanacheza hata ukikaa miaka 10+ bila ubingwa kama spurs na soton, lakini kwangu raha ya mpira ni ushindi na makombe labda sababu nilianza kuangalia mpira kipindi tupo on fire,
Van gaal + fellain ni vitu pekee ambazo sivihitaji utd kwa sasa, nitakacho mkumbuka van gaal hata akiondoka sasa ni kuwa dominate livapuli basii.