Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnakelele mno mungu anawaona ndio maana mnapigwa kizembe tu hivyo!!!! Kocha wenu nae maneno mengiiiiiii, tena mngepigwa hata sita hivi tuwaite man six
Sawa ndugu tuna kelele na vile vile tuna kilele cha mafanikio so hiki kipindi cha mpito naamini tutarudi penye u mwamba wetu kama timu inafanya vizuri tukishangilia kumbe inageuka kelele? tupo pamoja kwema lakini huko?
 
IMG_8903.PNG

Ilibaki kidogo mpigwe Mkono wa SOKWE
[HASHTAG]#Justsaying[/HASHTAG]
It's appalling to see even 'dead meat' trying hard to show their presence...the kinda people who have no guts to even show their presences in their threads when losing...
[HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]
 
It's appalling to see even 'dead meat' trying hard to show their presence...the kinda people who have no guts to even show their presences in their threads when losing...
[HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]

Nilisema hapa
Ukitaka kujua wanajamiiforums wanavyopenda na kufuatilia mpira ni siku Man Utd wakiwa wanacheza na haswa wakiwa wanafungwa [HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]
 
Jose: "When you lose 1-0 or 4-0, you lose 3 points. We are 6 points off the top now, we need to start winning games. It is not easy." [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
 
IMG_8898.JPG
Mtatukoma [HASHTAG]#deadmen[/HASHTAG] leo....

[HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]
Conte: "I was listening to the [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG] fans always supporting their team. I was asking my fans to clap for my players."
 
I hate rashford as a winger. He's a fecking
striker not a winger.

Also where's Mata and miki our 2 most
creative players and they aren't even playing
Ila refa asingewapa kadi nyekundu wachezaji wawili wa Man U (Pogba na Ibra) gemu hii Chelsea wasingeshinda aisee. Ha ha ha
 
Paul Pogba 4
Just woeful all afternoon and it was little wonder the Chelsea fans were singing ‘what a waste of money’.
 
kuanzia leo manure ni wake zetu ................ nikisema wake zetu" mnaitikia abeee

[HASHTAG]#via[/HASHTAG] mtaa wa 7
 
Chris Smalling and John Stones ni mabeki wa Uingereza na leo wamecheza mpira ambao unatia shaka juu ya uwezo wao kama mabeki.

John Stones akajikuta anampasia mshambuliaji wa Southampton ambae alifunga bila shida.

Baadae jioni beki mwingine Chris Smalling nae akafanya uzembe na Pedro akaifungia Chelsea goli la kwanza.

Chris Smalling ni big signing kwa Man Utd nilikuwa namfananisha na Rio Ferdinand kwenye nafasi yake ya kucheza kama mkoba.

Man Utd ina kazi ngumu ya kurudi kuja kuwa timu iliyopata kutawala ligi miaka minne ilopita.
 
Back
Top Bottom