UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Haibadilishi ukweli kwamba ni aibu siobarcelona wamuweke sokoni mess,neymar,suarez,iniesta halafu uje upige hesabu na jumla ya vikos vya alaves na celta vigo ambao walivuna point 3 kuna muda mpira una plan zake sio kuangalia shame mechi mbili za buyern na dortmund na hao waliowatoa jasho una gotze,kagawa,aubemeyung na bado walipigwa na rb leipzig
