hakuna link ya kucheki hii gemu online
Fellaini kaanza?!! Sina amani.
Kikosi cha leo naona chenga game ambazo mata hajaanza ni tatizo ngoja tuone kocha kaona nini
Vikongwe ni wabovu sana kwa mipira ya juu, nadhani ndio lengo la young kuanza kwa jili ya kuingiza cross kwa zlatan, nina imani jogoo anakufa, lets keep on believing guysNo martial no mata eeeh sijui ngoja tuone
Fellaini kaanza?!! Sina amani.
Vikongwe ni wabovu sana kwa mipira ya juu, nadhani ndio lengo la young kuanza kwa jili ya kuingiza cross kwa zlatan, nina imani jogoo anakufa, lets keep on believing guys
Nimesikitika sana kwa Starting Eleven ya leo,
Mechi hii ilitakiwa tujaze viungo pale kati, Badala ya Fella ilitakiwa aanze Carrick. Badala ya Young angeanza Mata... angalau tungekuwa na viungo wanne.
Liver anatabia ya kujaza viungo wengi pale kati tena viungo haswa, siyo Mawinga..!! Kwa walioangalia mechi ya Man City watakubaliana nami. Kwa mechi hii Liver watatusumbua sana ingawaje hawawezi kutufunga. Watawin positions vipindi vyote watatutoa jasho ingawaje matanga lazima yalale kwao..!!
Naenda kuangalia nikiwa angalau najua kitakachotokea, Mou kaniangusha leo
Huyo..unayemuita..money...(MANE )...hivi...ni...mara..yake....yakwanza...kucheza..against..Man.u?Najua mme miss kushinda goli zaidi ya mojasema inauzunisha sana
kwa beki zipi pale manure mumtulize money? Maana coutinho kazi yake mnaijua sasa sielewi
Ntaijaribu hiiKwa wale wanaotaka kustream live chekini hapa Manchester United vs Liverpool Live Stream Free
Young ni mwepesi na ako na mbio..naona mou anataka kushambulia kutoka pembeni..Mourinho kajihami, Kamweka Young na Big Fella.
Hii gemu nina wasiwasi na Ushindi