Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na nyinyi pia ni mashabiki wa Man Utd duh..?game ya Man Utd na Liverpool tangu na tangu ndio game yenye msisimko kwenu simply Utd na Liver ni Arch Rivals regardless nani yuko form najua mnadhani wapinzani wenu na Man Shit kwa kua mmedandia Utd labda ila waulizeni wenzenu umu ndani wanaoijua timu yenu ipi game pale EPL ina hekaheka kwenu kama sio na Liverpool yaani wendawazimu wa soka wenyewe wako wamevurugwa uko UK wewe kibanda umiza unajidanganya eti ni kawaida FYI leo Jose ana tension kuliko siku ya Man Shit like wise Kloop hii ndio game Rooney akifunga anaweza kufungua mvinyo mbele ya Jose na asifanywe kitu acheni kutuongopea muwe mnauliza.
McDonaldJr usiniambie hujui kitakacho mkuta man U
 
"We will try to win, that is for sure," he toldmanutd.com. "When they have the ball we have to defend and when we have the ball we have to attack. Mourinho words
 
images
juanfield
images

images

welcome to manchester utd tony martial
images

ngoja tukawalipie kisasi
Grory Grory Manchester United,,,!
 
"We will try to win, that is for sure," he toldmanutd.com. "When they have the ball we have to defend and when we have the ball we have to attack. Mourinho words

boss yupo corect toka enzi za sir alex hatujawah kuwa mabingwa wa posesion hizo mambo ni za arsenal sisi ni vikombe,pas ndef tatu na kudefend hata arsenal anakula 8 mpira ulikuwa wao sisi nyavu tu
 
Na nyinyi pia ni mashabiki wa Man Utd duh..?game ya Man Utd na Liverpool tangu na tangu ndio game yenye msisimko kwenu simply Utd na Liver ni Arch Rivals regardless nani yuko form najua mnadhani wapinzani wenu na Man Shit kwa kua mmedandia Utd labda ila waulizeni wenzenu umu ndani wanaoijua timu yenu ipi game pale EPL ina hekaheka kwenu kama sio na Liverpool yaani wendawazimu wa soka wenyewe wako wamevurugwa uko UK wewe kibanda umiza unajidanganya eti ni kawaida FYI leo Jose ana tension kuliko siku ya Man Shit like wise Kloop hii ndio game Rooney akifunga anaweza kufungua mvinyo mbele ya Jose na asifanywe kitu acheni kutuongopea muwe mnauliza.
Ipo overrated tu ila akuna jipya ilikuwaga enzi izo sio sasa ndomaana wamefikia hatua ya kuipeleka ichezwe usiku wa j3, Liverpool ni katimu kadogo tu kwasasa, katimu tulikokafunga game 4 mfululizo ktk misimu 2 iliyopita epl, Ni kweli nimeanza kuipenda Man Utd 2000 siwezi sema nilianza kuipenda 1980 wakati nimezaliwa miaka ya 1990
 
hahahahaha hatar mkuu acha tumpe heshima mtani wetu miaka ya hiv karibuni kalipotea saiv kanarud ka liver umefanya jamaa apanic
 
Ngoja niwah siti ya mbele leo watajaa mapema game imepewa promo kama el classico waingereza balaa
 
Back
Top Bottom