Nakusifu jinsi ulivyo dedicated na hii thread.Leo ni siki ngumu sana kwangu kimajukumu sababu niitaji kupumzika mapema laki leo lazima niwasuhudie wabovu mnavyo tolewa kamasi na liver
Nampango wa kuhamia man u endapo mtaifunga arsenal na liver ntakua man u rasmiNakusifu jinsi ulivyo dedicated na hii thread.
Nampango wa kuhamia man u endapo mtaifunga arsenal na liver ntakua man u rasmi
Ist future participle tense??
Nampango wa kuhamia man u endapo mtaifunga arsenal na liver ntakua man u rasmi
No....these are called GOLDEN MOMENTS!Ist future participle tense??
The Vault....
The Vault....
PRONDO usichoke kaka relax emb ifanye hiyo past participle iwe future participle kwa kumpiga liver leo na arsenal, i suwea nahamia man you na ntapiga picha na jersey original ya man u
Hivi ngariba in simple thinking yenye uvivu ndani yake unahisi manure watanfunga liver?? Tuachane na history tuzungumzie tactics za uwanjani tena msimu huuUnatafuta sababu za kuhamia,hatuitaji mamluki.








Hivi ngariba in simple thinking yenye uvivu ndani yake unahisi manure watanfunga liver?? Tuachane na history tuzungumzie tactics za uwanjani tena msimu huu![]()
Najua mme miss kushinda goli zaidi ya mojaTena tunashinda 3-0




sema inauzunisha sana 



kwa beki zipi pale manure mumtulize money? Maana coutinho kazi yake mnaijua sasa sielewiSawa sawa pia did you know manure has lost intrest in UCL since the retire of SAF









Sawa sawa pia did you know manure has loose intrest in UCL since the retire of SAF![]()