Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyo..unayemuita..money...(MANE )...hivi...ni...mara..yake....yakwanza...kucheza..against..Man.u?
Amescore...mara...ngapi....na..beki..zetu..mbovu...?
Yupo na combination nyingine lazima awale leo
 
Lini me nimekaa nikabishana na wewe??? Umeanza kushabika mpira 1970 or 1980 nani inamhusu hapa??? Tuliza mshipa ufikirie wanao wanakula nini kesho acha kusumbua raia.
Hoja yako dhaifu Sana ya mechi hii kuchezwa j3 eti si mechi kubwa tena. Wewe IPI no mechi kubwa kwako EPL?
 
Daaah, Mpemba leo hayuko vizuri kabisaa,

Hajiamini, anapoteza mipira ovyo, anachonga krosi utafikiri amegoka kupiga mechi ya kikubwa..!!!
 
Back
Top Bottom