First eleven ni one hour before, ila kuna ile 18 men squard kikosi ni kile kile but mikh and shaw hawapo na TFM yupo according to M.E.NHello guyz
Naomba kujuzwa our first eleven dhidi ya broiler wa anfield
Msenegali mane atawafanya kitu kibaya sana leoFirst eleven ni one hour before, ila kuna ile 18 men squard kikosi ni kile kile but mikh and shaw hawapo na TFM yupo according to M.E.N
Double D unatafuta ugonviNimepita kuwasalimu ndugu zangu tuwe pamoja wiki hii mpaka mwisho msitoweke humu
Nampango wa kuhamia man u endapo mtaifunga arsenal na liver ntakua man u rasmi
Waingereza wajinga kweli,yani hii mechi wameifanya kuwa kubwa wakati sisi tunawaona Liver ni kama Westham au Stoke![]()
Tatizo liverpool nao wamekuwa wabishi, bado wanajiona wao ni big team mpaka leo![]()