McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
HAHAAAA liverpool hii hii kilema? Au kuna nyingine?Jumatatu Liverpool inawanyoosha nyie!...endeleeni kujifariji.

Hawa Mwantesa Unaitedi wakishinda au hata wakitoa droo tu pale Anfield naacha kushabikia mpira kabisa.
Unasema??HAHAAAA liverpool hii hii kilema? Au kuna nyingine?![]()
![]()
Usije kulialia na refa tu!
FA wamepanga mwaka huu EPL iwe competitive wakubwa wasiachan sana ndiyo maana wameanza kuwabebaUsije kulialia na refa tu!
Ubabe gani?Acha kelele. Kesho tunaendeleza ubabe.
Ubabe gani?
Toka aje mchawi wa Kijerumani mnapigwa tu!!
Eeeeh umeanza kulialia kabla ya mechi! Kazi ipo.FA wamepanga mwaka huu EPL iwe competitive wakubwa wasiachan sana ndiyo maana wameanza kuwabeba
Lkn na refa wenu mm nakupiga!!
FA wamepanga mwaka huu EPL iwe competitive wakubwa wasiachan sana ndiyo maana wameanza kuwabeba
Lkn na refa wenu mm nakupiga!!