xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Lol.................. Calm down boy, wenger is still your managerMutamshukuru mou baadae baada ya kuona winning mentality yenu imeturn loosing mentality
Lol.................. Calm down boy, wenger is still your managerMutamshukuru mou baadae baada ya kuona winning mentality yenu imeturn loosing mentality
He is he gave us 16 pointLol.................. Calm down boy, wenger is still your manager
Mutamshukuru mou baadae baada ya kuona winning mentality yenu imeturn loosing mentality
Hahahaaa weka akiba ya manenoni rahisi kwa mtoto kuchezea maziwa ya mama yake lakini sio kugusa ko..dani za baba, nyie ni wetu tu ile europa isiwape jeuri, shauri yenu
Teeehe teeeehe na wafalme tunasumbua kweliKama kawaida Mteja Kwetu ni mfalme...![]()
Chama la wana huwa miezi hii linakuwa kwenye siku zake kuanzia december mambo huwa hivi
View attachment 411409
Kabla ya AW out lazima tureshe ndege ya Moureen Out maana sasa ivi tunaanza kuwalaumu wachezaji ila anaefuata ni Domokaya.
Teeehe teeeehe na wafalme tunasumbua kweli
na wafalme kama J.u.h.a wa nchi ya kufikirika wanasumbua kweli ila dawa yao ni 4g only.....

Teeehe teeeehe na wafalme tunasumbua kweli

Teeehe teeeehe na wafalme tunasumbua kweli
Endeleeni kujifariji kwa hizi cku zilizobakia,tianeni moyo wakuu kabla hamjaja kukatwa tena.man fyoongo nyieLazima wakae liverpool
dogo kachaguliwa kwenye timu yake ya taifa kwa mara ya kwanza
![]()
Busy October,
Hapa ndipo kilipo kipimo sahihi cha United, Mwezi huu kutoka tarehe 17 mpaka 29 tuna mechi 5!! Hizo siyo tu-Match..... Ni mechi za moto!!!
Tutaanza na Liver, Ferna, Chels, ManC kisha tutamaliza na Burnley... Ni mwendo wa bandika bandua,kila baada ya siku tatu... mzigoni.!!! Tutahenya sana na hapa ndipo binafsi nitampima Mou, anatakiwa kutulia, hasita zake aweke pembeni, awajenge kisaikolojia Makamanda wetu kukutana na ratiba hii.
Na kwakuwa tunakikosi kipana naamini tutadonoa mmoja baada ya mwingine then kufikia Nov tunakuwa tumevimbiwa..!!!
GGMU GGMU GGMU GGMU
Jipe Moyo!! Nothing but a shit of False hope.