Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Busy October,

Hapa ndipo kilipo kipimo sahihi cha United, Mwezi huu kutoka tarehe 17 mpaka 29 tuna mechi 5!! Hizo siyo tu-Match..... Ni mechi za moto!!!

Tutaanza na Liver, Ferna, Chels, ManC kisha tutamaliza na Burnley... Ni mwendo wa bandika bandua,kila baada ya siku tatu... mzigoni.!!! Tutahenya sana na hapa ndipo binafsi nitampima Mou, anatakiwa kutulia, hasita zake aweke pembeni, awajenge kisaikolojia Makamanda wetu kukutana na ratiba hii.


Na kwakuwa tunakikosi kipana naamini tutadonoa mmoja baada ya mwingine then kufikia Nov tunakuwa tumevimbiwa..!!!

GGMU GGMU GGMU GGMU
Amen.
 
Eric Cantona trolls Liverpool

“You should ask Liverpool fans whether I ever had a poor game against their team. United always won,” he told The New Straits Times .




huyo jamaa anadharau kinoma
Nisimseme vibaya maana umri umesogea kwake
 
Nilikuambia huko nyuma..,

Huna haja ya kuongozwa na chuki, hasira zako kwenye mjadala wa Kandanda especially hapa kwenye jukwaa la Makamanda wastaarabu.

Saizi nakuacha, tumia lita moja ya maji kisha rudi Kijiweni kwa mjadara.

THIS IS UNITED



jamaa huwa anamihemko ya ajabu balaa nakumbuka hata kipind kile manchester united ilikuwa hovyo sna kipind cha van gal liver alikuwa anawapiga city 4 akija kwa shetan jekundu anaambulia 3-0 mashabik wa liver hivyo hivyo wanakuja kwa mbwembwe mwisho wa siku vipigo tu
 
dogo kachaguliwa kwenye timu yake ya taifa kwa mara ya kwanza
Ct5-nkzUsAAeb7D.jpg
Tangu namuona kwa mara ya kwanza Herrera, nilijua atakuwa xabi alonso mpya!
 
Tatizo hatuna historia ya kushinda mechi za jumatatu...
Yaani hapa ndipo napochoka
 
Tangu namuona kwa mara ya kwanza Herrera, nilijua atakuwa xabi alonso mpya!


Kipind sir anakaribia kustaafu aliwapigisha kwata scholes na mwenzie giggs pale katkat van gal alikuwa anamtumia vibaya huyu nakumbuka kuna kipind had scholes alikuwa anausifia usajili huu
 
Tatizo hatuna historia ya kushinda mechi za jumatatu...
Yaani hapa ndipo napochoka
Hata mkiwa na historia!Man U hii haiwezi ifunga heavy metal Liverpool tena Anfield!
Hata kocha awe Babu Fergie mtalala tu!
 
Tatizo hizi mechi za kimataifa zina athari kishenzi utashangaa liver anarudi mchovuu mpk ukashangaa. Zinachosha hizi mechi mama za Europa. Ndio maana kama mourinho ameliona hili Bora ajitoe kiaina bila hivyo itakuwa DWWLDWDDWLD.....MPAKA MWISHO WA MSIMU
 
Back
Top Bottom