Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata mkiwa na historia!Man U hii haiwezi ifunga heavy metal Liverpool tena Anfield!
Hata kocha awe Babu Fergie mtalala tu!
Hawa manyumbu wa united fc wkend ijayo tunawanyoosha na morinyo wao
 
Dah performance ya Paul pogba inazidi kudorora kadri siku zinavyosonga mbele. Arguably mourinho is the one to blame for this. Man! I feel so sorry for the lad.
 
why so???
Kitendo cha mourinho kumpanga kama holding midfielder kinaonekana kutozaa matunda na badala yake kimekupunguza confidence na kuongeza presha kwa pogba (jamaa kasema ana-feel more confident and relaxed kama akichezeshwa wing ya kushoto as an attacking midfielder). Hilo jinamizi la ku-struggle kwenye levo ya klabu limemuandama jamaa mpaka timu ya taifa. (Jamaa confidence imepungua sana). Refer Paul pogba's performance against Bulgaria on his national duties.
 
Mbona hata euro hakuwa na kiwango kizuri
 
Kwani pogba anacheza kama holding midfield??? Pogba anapangwa kama namba nane na anacheza kama box-to-box yupo kote kwenye ku defend na ku attack!!! Search kwenye youtube interview yake na thiery henry utamskia alichosema!!!

Pogba anakiwango na kusema kashuka nadhan unakisea
 
Cued9LJXgAAv1G_.jpg

UNITED
 
Back
Top Bottom