everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Nifundishe kunyamaza ,nifundishe kunyamaza nisije nikakukosea Mungu wangu eeee....![]()
![]()
Baba na mwana wanaimba na kuchezaaa...
Chief Herrera sijui yuko wapi leo na Everlenk bila kumsahau Sister heeee heeee....Stoke wana bahati sana naikumbuka assist ya Depay pale Britania msimu uliopita
......Ipo siku yangu tu ,ipo siku yangu tu, sikuuuuuu......ipo siku yangu tu nami niba...niba....nibarikiwe!!!!!.......
....Na point tatu.....nibarikiwe...
Kuchukua ubingwa....nibarikiwe....niba ....niba...nibarikiweee
....Usifurahi juu yangu eeeee aduiii yanguuuuuuuu......niangukapo Mimi nitasimama tena......

.....Hahahhahhaha ni vijimambo tu na vinanikera kweli kweli.!!!!........ WE ARE THE UNITED WE WILL MAKE IT!!!!


