Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

United has no world class players good enough to challenge the title.
 
Mou is best Coach ever for me Coz haachi Kunipa Furaha 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
We have a long way to go..si kwa kumiss hivyo jamani khaaaaaa
 
Imefikia kipindi mou ajaribu kuitengeneza united bila ibrahimovic, maana most telling balls from pogba inapelekwa kwake na inaishia kuwa wastes. Hana spidi, rashford anastahili zaidi yake. But in mou i trust. Forever united
 
Lawama ya hii droo anabeba de gea... Kutema kick kama ile si kwa level yake!! Narudia tena lawama apewe de gea na akina pogba na ibra kwa kukosa chance za wazi
 
Disappointed....but [HASHTAG]#WeAreGettingThere[/HASHTAG]
I loved the fluidity in the 1st half...
 
Yaan leo sja elewa ekewa hii droo imekuja vipi
Timu yetu hakuwa na bahati na haikuwa na winning mentality
 
Hivi Stoke wamesawazishasawashaje? Nilishutukia Allen ana-tap in sikuona kilichotangulia. Kama Mourinho alidhani kibarua cha Old Trafford kipo katika level ya Stamford Bridge, he was wrong. More pressured than ever.Kufuata nyayo za babu SAF ni sawa na kujilazimisha kujisaidia kama Tembo
 
Duh hadi hawa wahuni Stoke wamepata droo?kweli mna safari ndefu heeee heeeeeee ni burudani ya aina yake ivi hawa wehu ndio wamefikisha 3Pts enheeee pale unapoamini una mtoto wa kiume rijali kumbe majirani wana kuchora tu.
 
Hivi Stoke wamesawazishasawashaje? Nilishutukia Allen ana-tap in sikuona kilichotangulia. Kama Mourinho alidhani kibarua cha Old Trafford kipo katika level ya Stamford Bridge, he was wrong. More pressured than ever.Kufuata nyayo za babu SAF ni sawa na kujilazimisha kujisaidia kama Tembo
sio Joe Allen unamshishia jina ni British Pirlo tehteh! DonDonald anamjua. ukitaka kujua ilikuwaje subiri Morinho akihojiwa.
 
Siamini kama mechi imeisha...

Hawa wachezaji inatakiwa kuwalaza kwenye marumaru halafu unamwagia maji ya barafu.. Wanatakiwa wajitambue kuwa...

Wanachezea Man United
 
Back
Top Bottom