respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,843
Huyo Martial ni takataka kabisa hatakiwi kuchezea timu kubwa kama hii, ingewezekana tuwauzie kabisa Arsenane. HAPO BADALA YA LINGARD ANGEMUWEKA YOUNG, KOMBINATION YA YOUNG NA VALENCIA NI HATARI TUPU....
Kwa bahati mbaya hujui unachokisema mkuu..
THAT'S WHAT I CAN SAY
