Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Herrera ananipa raha sana
Ukiangalia tofauti kubwa tatu kati ya city na united ni 1. Scoring 2. Speed 3. Composure. United Maeneo haya iko very poor.Pogba amekosa mawili mpaka sasa na zlatan kakosa ya wazi kabisa!!!
Mechi kama hizi ukipigwa moja imekula kwako...hope watabadilika
Mkuu, siku zote mambo huwa yanabadilikaNashangaa sana Jose kumkubali Mata wakati alimtimua Chelsea
Huenda hana options. Maana Mata ni skilled player. Sio strong player. Na mou anapenda aina za akina felaini, valencia, ibra. MiguvuNashangaa sana Jose kumkubali Mata wakati alimtimua Chelsea
U wanna know why he is who he is toka kwa wachambuzi point of view simple tafuta au taka kujua weakness za mata kisha linganisha na mchango wake hapo utajua kwanini wanamuona wa kawaidaView attachment 410680
juan mata has 82 goals/assists since joining the Premier League, the same number as David Silva.No midfielder has more over past 5 years.
Why is he so underrated?
Mchukueni neymar, mesi,aguero sio mpaka huyo babuIbra is not a good striker kama jina lake lilivyo. A lot of misses and easily losing the ball.
GriezmanMchukueni neymar, mesi,aguero sio mpaka huyo babu
Special 1Nashangaa sana Jose kumkubali Mata wakati alimtimua Chelsea