Nimeamini watu wengi mpira hawajui. Kwa akili ya watu wengi wanadhani mchezaji akifunga goli ndio mchezaji bora hata kama alibahatisha.Mkuu unamuongea Anthony Martial au Martial yupi?


Pale alitakiwa aingie Rooney na Young, hapa Mourinho amechemsha sana.Pia tumepoteza magoli mengi sana kipindi cha kwanza, hii ligi isha tushinda
Kule mwanzo tulidhani ni mchezaji wa maana. Lakini kwa kuwa ame-prove failure ni wa kufukuzwa kabisa. Aondoke na Depay wake.Hahaha hawa washabiki wasahaulifu huwa wanatokea timu zikishindwa kupata ushindi. Ina maana umeshasahau magoli aliyofunga mechi zake za mwanzoni mkaanza kumwita the NEW HENRY?
Jamani kuna mtu amesikiliza vizuri Mourinho alichosema?
Sasa mkuu Mou ana kosa gani Pale!!?Sio mlipoteza magoli mengi, ulitakiwa useme hamna wafungaji wa magoli.
Hilo la ligi kuwashinda mnalijua leo? Mimi nilipoona Mpayukaji Domokaya kapewa kibarua Man United nilijua na David Moyes anarudi kufundisha Man United msimu wa 2017/18.
Mou ameletwa ili Man United iuze jezi kwa wingi tu ili Man United iingize mapato ya kutosha.
Kwa Man United wanaweza kufurahi au kujiliwaza kwa sababu Man City pia hatautwaa Ubingwa wa Ligi kwa msimu huu.
Mimi leo ndio nimejua bosKumbe Unajua leo Wewe Kuwa ligi imeshawashinda?? Mbona mimi nimelifahamu Kitambo hilo.
😀😀😀😀😀
HaaaahaaaaMou aliacha kutoa maelekezo kwa wachezaji wake na alianza kufanya maombi,kusali na dua na wachezaji wake walimwona, wakaungana na kocha wao katika maombi,walinyanyua mikono na kuvumba macho ile wanaitikia "ameen" na kufumbua macho, ulimi uliwatoka kama ulimi wa mbwa aliyechoka huku mwamuzi anaonesha kati. Kwa dakika 1 hawakujua nini kinaendelea mpaka pale mwamuzi alipowambia,"maombi na dua zenu zimekubaliwa".
Kwa kweli Mwamuzi aliwabeba Man United kwa kutompa Herrera kadi ya pili ya njano,alimezea foul iliyolazimisha mchezaji wa Stoke kuumia goti. Vyenginevyo Stoke wangetoa headlines za magazeti nzuri kesho.
Baada ya mechi,Mou alikimbizwazwa kupimwa shinikizo la damu. Sijui akitoka huko atakuwa na lipi la kuhubiri leo.
Kama unapenda mpira wa miguu ni lazima uipende Stoke City!
Kwahiyo wachambuzi wa soka wanaipima timu kwa kutoka sare na Stock?
We sijui unetokea wapi, Ungekuwa na akili nzuri angalau ungeangalia Positions, Chances tulizotengeneza Mach I hii kulinganisha na Leicester city.
Argument yako ni ya kitoto sana
Eti...?Wepesi hawa, hakuna sababu ya kukosa 3 points